Mimi ni mwanachuo nasomea electronics and telecommunication

Mimi ni mwanachuo nasomea electronics and telecommunication

Kenerd Mwanyelele

New Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
1
Reaction score
1
Mimi ni mwanachuo nasomea electronics and telecommunication.........kama una sumbuliwa na vifaa vyako vya umeme iwe pasi, jug ya kumchemshia maji, Tv, deck, redio,n.k usihangaike piga 0622288860 nitakufikia popote ulipo na pia na pia namtafuta mtu wa kufanya nae project zangu tuwe tunasaidiana. Ahsanteni wana Jf
FB_IMG_1576658338571.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mwanachuo nasomea electronics and telecommunication.........kama una sumbuliwa na vifaa vyako vya umeme iwe pasi, jug ya kumchemshia maji, Tv, deck, redio,n.k usihangaike piga 0622288860 nitakufikia popote ulipo na pia na pia namtafuta mtu wa kufanya nae project zangu tuwe tunasaidiana. Ahsanteni wana JfView attachment 1296676

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu title yako inaeleza tu kuwa ni mwanafunzi,ongeza maelezo ya huduma ya ufundi unayotoa kwenye title yako.
 
Unaweza kunitengenezea bomu la kulipuka baada ya muda fulani
 
dah kuna dogo kasomea fani kama yako

ila huyu dogo ni hatari anaunda mpk bomu

dogo yupo fresh hatari

now kashamaliza chuo juzi kati km mnataka muungne nikuunganishe naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom