Kwa management ya Feza boys mmeonesha udhaifu

ellybululla

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
107
Reaction score
83
Mmeanza ubaguzi wa kitaaluma kuna wahitimu vyuo mbali mbali wanasifa na weledi wa kuwahudumia watanzania

*Mwalimu wa history anahitajika feza boys* *secondary*
*Sifa za muombaji*
Chuo mlimani or Duce
Umri 24-30
GPA 3.5 up to 5.0
Tuma online kupitia email address hiyo chini
application@fezaschools.org.
Share to your brother and sister/Friends.
 
Wabongo tunapenda kulia lia....hata kama UD haina quality organisation inataka mtu wa vyuo hvyo....it is a free country
 
Mmeanza ubaguzi wa kitaaluma kuna wahitimu vyuo mbali mbali wanasifa na weledi wa kuwahudumia watanzania

*Mwalimu wa history anahitajika feza boys* *secondary*
*Sifa za muombaji*
Chuo mlimani or Duce
Umri 24-30
GPA 3.5 up to 5.0
Tuma online kupitia email address hiyo chini
application@fezaschools.org.
Share to your brother and sister/Friends.
YOU MUST BE A GRADUATE FROM UDOM, TEKU OR SECUCO
I CAN SEE.
 
Mimi sielewi lawama zako zinatoka wapi wakati wao wameweka vigezo vyao kulingana na mtu wanaomtaka wao
 
FEZA kama mwajiri ana haki ya kuchagua ni mtu gani anamhitaji
 
Udhaifu gani wameonyesha hapo?
Mmeanza ubaguzi wa kitaaluma kuna wahitimu vyuo mbali mbali wanasifa na weledi wa kuwahudumia watanzania

*Mwalimu wa history anahitajika feza boys* *secondary*
*Sifa za muombaji*
Chuo mlimani or Duce
Umri 24-30
GPA 3.5 up to 5.0
Tuma online kupitia email address hiyo chini
application@fezaschools.org.
Share to your brother and sister/Friends.
 
sasa unataka kumpangia mwajiri sifa za watumishi anaowataka?
wewe endelea kusubiri ajira za sandakalawe za Magufuli.
 
Back
Top Bottom