Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Sisi walimu tulioajiriwa tarehe 12/06/2023 katika Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu kutolipwa mshahara wa mwezi Juni 2023 hadi sasa...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Salam ndugu zangu natanguliza shukrani kwa Muumba wetu. Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22, Kama kichwa cha habari kilivyojieleza hapo juu ninahitaji mtu mwenye koneksheni ya kazi za...
0 Reactions
9 Replies
779 Views
Habari zenu! Kuna rafiki yangu, mmoja hana kazi, bado anatafuta, lakini anajitapa hawezi chukua kazi chini ya m1.5 especially ikiwa ya mkoa. Je ni kweli?? Serekalini unalipwa mishahara kama hii...
1 Reactions
46 Replies
17K Views
Tunatafuta vijana wenye bidii, ubunifu na shauku ya kujifunza na kufanya kazi katika teknolojia ili kujiunga na timu yetu ya AI na Social Media. Tunatafuta watu wenye uwezo katika: Marketing...
1 Reactions
10 Replies
138 Views
Habar za wakati huu, Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Mimi ni kijana wa kiume niko mbele yenu wanajukwaa kunisaidia kupata kazi hasa za ufundi mimi ni mtaalam wa fundi selemara , fundi wa kuchomelea na kuunga vyuma na fundi aluminiamu lakini pia...
2 Reactions
4 Replies
98 Views
Yaani nashindwa kuelewa unakuta kijana hana fani wala ujuzi wowote. Lakn ukimwambia kuna kazi uku njoo ujichanganye yeye ataanza kukuuliza ntalipwa sh ngapi.??😎 kiasi kwamba km wewe ndo boss...
2 Reactions
4 Replies
80 Views
Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa. Soma: Mufindi...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Habari nahitaji Mfamasia Ngazi ya Degree! Aliye tayari tuwasiliane: Contact: 0672473087
1 Reactions
3 Replies
158 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo...
4 Reactions
72 Replies
3K Views
Anonymous
Kumekuwa na ongezeko kubwa la watumishi wengi wa kada ya afya, hususan katika kada za Clinical Officers (C.O), Nursing na kada nyingine za afya, kuamua kubadili taaluma zao na kusomea fani tofauti...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Sisi Wafanyakazi 36 tuliokuwa waajiriwa wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) baada ya kuachishwa kazi kwa kile wanachodai kulikosekana uwajibikaji, tumegundua kuwa kuna changamoto ya...
1 Reactions
7 Replies
264 Views
Nimemaliza chuo sasa nataka kuchangamkia fursa za ajira mtandaoni. Wapi naweza pata kazi za mtandaoni ukiacha Upwork na Fivver?
2 Reactions
6 Replies
71 Views
Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es...
6 Reactions
24 Replies
316 Views
Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick...
72 Reactions
59 Replies
17K Views
SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA Habari wana JamiiForums, Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza...
6 Reactions
24 Replies
305 Views
Peculiar Enterprises Ltd (PeL) is looking for motivated and results-oriented individuals to join our team as Volunteer Corporate Sales & Marketing Representatives to support the growth of our...
2 Reactions
6 Replies
100 Views
GROWTH & SALES MANAGER Location: Dar es Salaam | Full-time | On-site The Opportunity We are looking for a Growth & Sales Manager to take ownership of the growth and commercial performance of our...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Anonymous
Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Back
Top Bottom