Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi, ambapo tunafanya kazi hadi nyakati za usiku na hata Jumapili, lakini hakuna malipo ya muda wa ziada (overtime)...
Sisi watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, kuna utaratibu usio rasmi na haupo kwenye kanuni unafanywa na viongozi wa idara zinazohusiana na fedha, iko hivi:
Mtumishi...
Sisi ni watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Nkinga, iliyopo Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Tunaiomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kufuatilia changamoto mbalimbali ambazo kwa muda mrefu...
Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi.
📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam
Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko...
(Temporary post)
Kwa wakazi wa Dar.
Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe.
Wamefukuzwa...
Natafuta Mtu wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money na kusimamia spea za pikipiki. Mshahara ni sh 80,000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na...
Wakuu habari za muda huu.
Naitwa Sarah Hizza
Umri: 24
Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024.
Mahali nilipo kwa sasa: Tanga
Natafuta kazi yeyote ya halali
Mawasiliano...
Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi na muda mwingine kutoa vitisho...
Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kutoka Wilaya ya Mbeya Mjini bado hatujapokea posho zetu kwa muda unaostahili.
Baadhi yetu hawajalipwa kwa kipindi cha miezi tisa, wengine miezi 12, huku wengine...
Construction company class 2, civil class 2 building kuanzia class 3, offer on the table 300M, madeni madogo madogo kama inadaiwa yanazungumzika..kinachohitajika ni company siyo assets...
Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147...
Sisi walimu wapya walioajiriwa mwaka 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, tuliripoti kazini mwezi Februari 2026. Hata hivyo, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu, huku mamlaka husika zikiwa...
Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu
kwa mwenye connection...
Naomba kutoa changamoto kwa Maafisa Utumishi na Ofisi ya Masijala kuacha kufanya kazi kwa mazoea na kuhakikisha stahiki za watumishi zinashughulikiwa kwa wakati na kwa ufanisi.
Mimi ni miongoni...
Watumishi wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Chamwino, Dodoma, hatulipwi stahiki zetu kwa mujibu wa mwongozo wa Serikali.
Sambamba na hilo, idadi ya siku za malipo hupunguzwa na baadhi ya stahiki...
1. Nahitaji Mwalim wa Physics na Mathematics anayeweza kufundisha NECTA SYLLABUS Form 1-6 KWA UBORA WA HALI YA JUU NA AKAELEWEKA.
2. Vile vile nahitaji Fundi Umeme mwenye vyeti vya DIPLOMA AU...
Naomba kuwasilisha suala hili kwa wizara husika kwa ajili ya uchunguzi na, ikibainika kuna makosa, hatua stahiki zichukuliwe.
Kumekuwa na taarifa za vitendo vinavyodaiwa kuwa ni utapeli...
Habar za mda huu wadau,
Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa.
Ikawa kimya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.