Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Guys ,nina ndugu yangu ni Nurse Assistant na CHW anatafuta kazi,Kwa yoyote mwenye kujua taasisi za afya zinazolipa vizuri Naomba msaada wako pls
3 Reactions
6 Replies
70 Views
We are looking for a Physical Education Intern to join our team. Location: Dar Stipend: TZS 1,400,000 Requirement: Recent graduate in Physical Education If you know someone or you are that...
1 Reactions
0 Replies
22 Views
Samahani ndugu ZANGU, Mm ni mwanafunzi wa chuo Cha uhasibu Arusha, njiro natafuta kazi Kwa ndugu ZANGU mlioko humu ndani. Nafanya hivi Kwa sababu Mimi nasoma Naingia mwaka wa pili but napitia...
0 Reactions
0 Replies
29 Views
Habari wakuu bila shaka humu Kuna watu wa Aina mbalimbali naomba tumsaidie huyu dada anatafuta kazi!! Alikuwa anafanya kazi Suma JKT kutokana na matatizo ya nyumbani kwao mwanza aliacha! Kwa sasa...
5 Reactions
17 Replies
238 Views
Nahitaji kubadilishana na Afisa Kilimo aje Geita niende Muleba DC. Njoo Geita, Nije Muleba. Kada: Kilimo
1 Reactions
2 Replies
62 Views
Anonymous
Wafanyakazi wa Halotel Tabora tunakabiliwa na mazingira magumu ya kazi, ambapo tunafanya kazi hadi nyakati za usiku na hata Jumapili, lakini hakuna malipo ya muda wa ziada (overtime)...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Anonymous
Sisi watumishi wa Idara ya Afya katika Halmashauri ya Jiji la Tanga, kuna utaratibu usio rasmi na haupo kwenye kanuni unafanywa na viongozi wa idara zinazohusiana na fedha, iko hivi: Mtumishi...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Sisi ni watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Nkinga, iliyopo Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora. Tunaiomba Serikali na mamlaka husika kutusaidia kufuatilia changamoto mbalimbali ambazo kwa muda mrefu...
5 Reactions
14 Replies
301 Views
Natafuta Fundi Pikipiki mwenye uzoefu, mwaminifu na mweledi wa kazi yake, ambaye yuko tayari kufanya kazi nasi. 📍 Eneo: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam Mtu mwenye sifa hizo na ambaye yuko...
1 Reactions
0 Replies
30 Views
(Temporary post) Kwa wakazi wa Dar. Wanajukwaa nimekuja mbele yenu kuomba kazi HALALI kwa ajili ya dada ambaye maetelekezewa familia na mmewe baada ya kutopea katika ulevi wa pombe. Wamefukuzwa...
7 Reactions
32 Replies
397 Views
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake 1. TPDC 2. TCRA 4. Ngorongoro 3. Ewura 4. WCF 5. TBS 5. TANAPA 5. Tume ya madini 6...
113 Reactions
3K Replies
885K Views
Natafuta Mtu wa kazi ya ofisi ya uwakala wa tgo, halopesa, airtel money na kusimamia spea za pikipiki. Mshahara ni sh 80,000/= awe na uzoefu wa kufanya kaz na mwepes kuelewa kwa muda mfupi na...
5 Reactions
53 Replies
479 Views
Wakuu habari za muda huu. Naitwa Sarah Hizza Umri: 24 Elimu: Shahada ya maendeleo ya jamii nilihitimu mwaka 2024. Mahali nilipo kwa sasa: Tanga Natafuta kazi yeyote ya halali Mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Anonymous
Kuna 1st na 2nd OnCall, lakini analipwa 2nd peke yake (MD), tukiuliza tunaambiwa Clinical Officers hatuna call, hapohapo tunatakiwa kuingia na ku-assist upasuaji usiku, kinachouma kingine katika...
3 Reactions
7 Replies
177 Views
Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi na muda mwingine kutoa vitisho...
1 Reactions
6 Replies
106 Views
Anonymous
Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii kutoka Wilaya ya Mbeya Mjini bado hatujapokea posho zetu kwa muda unaostahili. Baadhi yetu hawajalipwa kwa kipindi cha miezi tisa, wengine miezi 12, huku wengine...
0 Reactions
0 Replies
8 Views
Anonymous
Nafanya kazi kama Mwalimu wa Shule ya Msingi katika Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, kero yangu kubwa ni kuhusu kuchelewa kwa vibali vya uhamisho wa kubadilishana kwa watumishi wa kada mbalimbali...
1 Reactions
2 Replies
202 Views
Construction company class 2, civil class 2 building kuanzia class 3, offer on the table 300M, madeni madogo madogo kama inadaiwa yanazungumzika..kinachohitajika ni company siyo assets...
1 Reactions
4 Replies
46 Views
Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147...
0 Reactions
2 Replies
67 Views
Anonymous (fb87)
Sisi walimu wapya walioajiriwa mwaka 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, tuliripoti kazini mwezi Februari 2026. Hata hivyo, hadi sasa hatujapokea fedha za kujikimu, huku mamlaka husika zikiwa...
0 Reactions
5 Replies
62 Views
Back
Top Bottom