Namba kazi

Namba kazi

Tumwesige senior

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
6,278
Reaction score
11,189
Mimi ni kijana wa kiume,mwaminifu na mchapakazi,umri miaka 33,nipo mkoa wa kagera.

Ninaomba kazi ya kuuza duka la jumla,sheli,maduka ya spea,udereva(endapo nitafundishwa)

Nina uzoefu na mambo ya ujasiliamali(maduka)
Nipo tayari kujifunza na ni mwepesi wa kujifunza vitu vipya

Nitashukuru endapo ntapata kazi au connection ya kazi

Asante.
Mshana Jr
Seran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom