Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es...
6 Reactions
24 Replies
289 Views
Wakuu! Huwa wanasema sharing is caring. Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick...
72 Reactions
59 Replies
17K Views
SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA – NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA Habari wana JamiiForums, Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza...
6 Reactions
24 Replies
300 Views
Peculiar Enterprises Ltd (PeL) is looking for motivated and results-oriented individuals to join our team as Volunteer Corporate Sales & Marketing Representatives to support the growth of our...
2 Reactions
6 Replies
95 Views
GROWTH & SALES MANAGER Location: Dar es Salaam | Full-time | On-site The Opportunity We are looking for a Growth & Sales Manager to take ownership of the growth and commercial performance of our...
0 Reactions
0 Replies
27 Views
Anonymous
Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Nafasi za kazi kwa watu wa SALES wenye uzoefu wa miaka miwili Tunapatikana Dodoma, tuma Cv yako kwenye email hii: valerianabiseco176@gmail.com
1 Reactions
8 Replies
99 Views
Anonymous (698e)
Kwenye dirisha la Normal transfer request nimetafuta Halmashauri/Taasisi ninayotaka kuhamia nimeipata Soma Pia: Kuna changamoto kubwa kwenye mfumo wa e-Uhamisho katika mchakato wa uhamisho wa...
4 Reactions
83 Replies
3K Views
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Lynn Chawala amesema ufaulu na mfumo wa upangaji wa matokeo ni miongoni mwa vigezo vinavyozingatiwa katika...
1 Reactions
0 Replies
101 Views
Habari ndugu zangu! Nahitaji kazi. Mimi nimesomea hotel katika kitengo cha uhudumu wa chakula na vinywaji, nipo Zanzibar. Yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi, Mawasiliano yangu ni...
2 Reactions
0 Replies
68 Views
Anonymous
Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Anonymous
JWTZ limeanzisha bima ya afya kwa ajili ya wanajeshi na familia zao ila bima hiyo imekuwa na msaada mdogo sana ukilinganisha na fedha ambazo tunachangia kwa mwezi kitoka katika mishahara yetu...
21 Reactions
115 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa juu ya viwango vya mishahara kwa watu wanaofanya kazi migodini wale wenye certificate ,diploma na bachelor katika mining ,mineral exploration kuwa mishahara yao inarange wapi
1 Reactions
18 Replies
8K Views
Anonymous
Kero yangu inahusu mchakato wa ajira katika migodi ya Geita Gold Mine (GGML) na Barrick Gold. Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa waombaji wengi wa kazi kwamba nafasi nyingi zinazotangazwa hadharani...
2 Reactions
5 Replies
375 Views
🌙 UJUMBE WA JIONI | R.J. COUNSELLING Jioni ni wakati mzuri wa kutulia na kujiuliza: Leo nimejisikiaje? Nimepitia nini? Na ninahitaji nini ili kesho niwe bora zaidi? 🧠 Kisaikolojia, si kila jambo...
0 Reactions
10 Replies
63 Views
Anonymous
Mimi ni miongoni mwa watumishi wa mkataba waliowahi kufanya kazi katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo iliyopo Kimara Baruti. Nilisitisha mkataba wangu kwa kufuata utaratibu wa kutoa barua rasmi ya...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Habari za Wakati huu; Nafasi hizi za kazi zinatangazwa kwa Nafasi za kazi za Technical Sales Specialist.Kama Technical Sale Specialist uantakiwa uwe na sifa zifuatazo: Uwe na utaalamu katika Fani...
1 Reactions
0 Replies
32 Views
Anonymous (ce6e)
Wanafunzi ambao tumesoma Bachelor of Technical Education in Mechanical Engineering, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) tumeshindwa kusajiliwa na Engineers Registration Board(ERB)...
1 Reactions
32 Replies
917 Views
Anonymous (9d66)
Naomba kuwasilisha kero kuhusu mchakato wa ajira katika Taasisi ya Afya Muhimbili. Tulifanya usaili wa nafasi mbalimbali, lakini hadi sasa imepita miezi kadhaa bila kuitwa kazini, huku mwaka...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
1 Reactions
0 Replies
30 Views
Back
Top Bottom