Mfumo wa E likizo kwenye ESS UTUMISHI uboreshwe

Mfumo wa E likizo kwenye ESS UTUMISHI uboreshwe

MANVOICEhd

New Member
Joined
Feb 1, 2026
Posts
4
Reaction score
2
Mfumo wa e- likizo kweny Ess utumishi uboreshwe maana inafikia wakati watumishi likizo walizoomba kwenye Mfumo zinaisha mda wake bila kuwa APPROVED ukiulizia supervisor anasema haoni likizo yako ukienda halmashauri nao hawana majibu ya kueleweka hivyo tunaomba Mfumo huu uboreshwe hasa kwa watumishi ambao likizo zao lazima zipitie kwa ma supervisor wa vituo vya kazi ikibidi Mfumo uruhusu likizo ya mtumish kuwa monitored na HR badala ya mlolongo wa supervisor +Hr= APPROVAL
 
Back
Top Bottom