Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

  • Redirect
Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
0 Reactions
Replies
Views
Tunahitaji Accountants/wahasibu wenye uzoefu. Waombaji waliopo Dodoma watapewa kipaumbele, kwa kuwa ofisi zetu zipo Dodoma. 📩 Tuma CV yako kupitia: valerianabiseco176@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
67 Views
  • Redirect
Tunahitaji Accountants wenye uzoefu, Waliopo Dodoma watapewa Kipaumbele. Ofisi zetu zipo Dodoma. Tuma CV yako kwenye Email : valerianabiseco176@gmail.com
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa zake hizi hapa RAMADHAN SALUM RAJABU Anasoma NATIONAL INSTITUTE OF TRANSPORT Age: 20 YEAR OLD Mwaka aliopo :SECOND YEAR Field yake : FREIGHT CLEARING AND FORWARDING Mawasiliano...
0 Reactions
2 Replies
53 Views
Asalam Aleykum wanajamvi nia na Nlmazumuni ya uzi huu nitupeane updates ya taarifa mbali mbali kuhusu ajira mpya za JWTZ 2026
6 Reactions
83 Replies
3K Views
LEO NATAKA NIWAELEWESHE JUU YA ISHU YA "VACANCY NOT BUDGETED" kwenye mchakato wa uhamisho wanaokutana huu ujumbe
4 Reactions
16 Replies
342 Views
Habari,..swali langu linaendelea kwa kuangalia takwimu za ajira za ivi karibuni (recent placements) za sekretarieti ya ajira. Kwa majina ya walioitwa kazini hasa uwalimu wa masomo ya...
5 Reactions
53 Replies
465 Views
📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka...
0 Reactions
3 Replies
68 Views
Natumai hamjambo, Elimu yangu ni form 6 natafuta kazi ya Security officer/guard nina uzoefu wa kitosha nimefanya kazi maeneo mbalimbali ikiwemo SERENA HOTEL, TERMINAL 3 AIRPOT NA INDUSTRIAL AREAS...
1 Reactions
0 Replies
48 Views
Anonymous
Uongozi wa hospital ya KAMANGA-Nyegezi, MWANZA unatulazimisha wafanyakazi kufanya shift mbili, hii ni nje ya utaratibu rwa serikali na hupunguza ufanisi tunapokuwa kazini na huhatarisha Afya kwa...
2 Reactions
4 Replies
167 Views
Anonymous
Watumishi wa ajira mpya katika Idara ya Elimu ya Sekondari, Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida, bado hawajalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa. Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba wanapofuatilia...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
Habari za kazi wakuu natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi Kutoka mkoa wa songwe wilaya ya momba Kwenda mkoa wowote kati ya hii LINDI MTWARA RUVUMA Mawasiliano 0791823730
3 Reactions
6 Replies
148 Views
Anonymous
Mwaka 2024, Sekretarieti ya Ajira ilitangaza nafasi za kazi kwa walimu wa somo la Biashara (Business Studies). Mojawapo ya vigezo vilivyotajwa ni kuwa mwombaji awe na Shahada ya Ualimu (Bachelor...
2 Reactions
11 Replies
283 Views
Anonymous (555b)
Uhamisho umekuwa changamoto kubwa kutokana na baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri kutokupitisha barua za uhamisho zinazotolewa na TAMISEMI. Inadaiwa kuwa barua za uhamisho zinapotoka TAMISEMI...
0 Reactions
4 Replies
116 Views
Anonymous (3c65)
Mimi ni mwananchi kutoka Mkoa wa Katavi, Halmashauri ya Mpimbwe. Naomba kueleza changamoto tuliyokutana nayo katika mchakato wa mikopo ya halmashauri kwa vikundi vya vijana. Sisi kama kikundi...
0 Reactions
5 Replies
81 Views
Anonymous
Wahandisi Ujenzi (Civil Engineers) waliopo Halmashauri zetu wanapitia wakati Mgumu sana. Unakuta anasimamia miradi maelekezo anayopokea kutoka kwa Mkurugenzi (DED) na Mkuu wa Wilaya yanakuwa...
11 Reactions
22 Replies
993 Views
Anonymous
Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua...
1 Reactions
1 Replies
387 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Shahada ya Udaktari wa Mifugo ambao tunatarajia kufanya internship ya mwaka mmoja kabla ya kupata usajili wa kufanya kazi kama madaktari wa mifugo. Leo tumekutana na...
2 Reactions
6 Replies
161 Views
Hellow members Anahitajika audiologist nurse ,Eneo la Kazi ni kibaha Pwani, mwenye uhitaji uncheck kwa kutuma Cv kwenye e-mail jndasika3@gmail.com au WhatsApp namba 0758918144
0 Reactions
2 Replies
67 Views
Back
Top Bottom