Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

INTERVIEW ANNOUNCEMENT BOFYA chini hapo kudownload pdf ya MAJINA: TANGAZO LA USAILI UTUMISHI PDF
0 Reactions
8 Replies
3K Views
JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Officer In Charge- (1 Post) 2. Special Assistant To the Registrar- (1 Post)
1 Reactions
0 Replies
611 Views
Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Mimi mkazi wa Dar es Salaam, elimu yangu ni mhitimu wa form six. Ninatafuta kazi yoyote. Experience yangu ni katika kubeba mizigo mizito, na kibarua wa kujenga. Pia nina ujuzi wa kutumia...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu Nimefikilia kuanzisha biashara itakayoniongezea kipato mawazo yangu yamefikia nifungue sallon ya kiume tu nimuweke mtu mimi huku niendelee na kishe nyingine. Sasa msaada wangu ni huu...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Name: Kanuti Daudi Qualifications: Bsc in Chemistry Work experience: 4 years on Quality control/ Quality Assurance assistant Head. Searching Job vacancy related to above details.
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Natafuta kijana wa kiume anayejua kutunza ng'ombe. Awe anajua kukamua maziwa pia Mahali: Bagamoyo Mshahara: 60000 kwa mwezi + atapewa chumba cha kukaa + atapewa chakula Kama unaitaji nchek pm...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Position: Business Development Manager Reporting to: General Manager dotted line to Chief Commercial Officer Responsibilities: Oversee entire sales of GSM Home Products countrywide channeled to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitwa Mwl. Samwel Raymond Mfaume, Nilihitimu katika chuo kikuu kishiriki cha elimu Mkwawa na kutunukiwa Shahada ya kwanza ya ualimu ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2019 kwa masomo ya...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
hatimaye BOT waanza kuita kwa ajili ya interview.Ndugu yangu kapigiwa tayari kwenda kwenye interview.
1 Reactions
52 Replies
18K Views
Habari za leo jamani mimi ninakuja na suala lingine tofauti, nimekosa wapi ninaweza kupata msaada, nilikuwa natafuta kazi/ajira imekuwa ngumu kwajili ya kipindi hichi cha corona na hali ngumu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu Naomba kujua jinsi ya kupata kazi halmashauri yoyote Tanzania. Je, bila connection unaweza kupata kazi? Manispaa? Nimesoma Human Resource nmemaliza mwaka jana. Sina connection.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habar zenu jmn za j2 ..bdo cjachok kutafut Kaz mweny kazi yyte nafany plz elim n bachelor degree of education ..plz plz msaada msinishushue Mambo magum ...jinsia mm n she ..,
2 Reactions
28 Replies
3K Views
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega amepokea kibali cha ajira mbadala cha tarehe 01 Februari, 2021 chenye Kumb. Na. FA.l701533/01,,B"l 34 kutoka kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunatafuta Bwana Shamba awe na uzoefu wa kusimamia shamba ikiwamo kilimo, ufugaji, misitu na asali. Shamba la eka 89 jirani na Ruvu Ranch ya NARCO awe na uzoefu wa irrigation. Piga simu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
POST: ENGINEER II – 1 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION, WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES EMPLOYER: Petroleum Upstream Regulatory Authority(PURA) APPLICATION TIMELINE...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Najua hapa ndani hapawezi kukosa wamiliki, maengineer wa makampuni,viwanda, na mashirika mbali mbali mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 26 naishi Dar es Salaam. Naombeni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wakuu wa JF, Mimi ni kijana niliehimu mwaka 2018 (Bachelorof science with Education Geography and Biology) nimekuwa nikitafta nafas za kufundisha private schoos bila mafanikio! Kwa sasa...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom