Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Operator 1–CAF Wheel Loader (4 Posts) 2. Tradesperson 1 – Electrician (2 Posts) 3. Attendant 3 – Lamproom (1 Post)...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu, Mimi nimemaliza uhandisi wa chemia na pia nna master ya uhandisi wa dawa naomba msaada wenu kwenye connection za ajira ya aina yeyote. Pia naweza kutengeneza vipodozi kwa yeyte...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Head; Personal Banking Job Purpose Provide leadership and ensure that the Personal Banking function is catering to the various needs of personal segment by offering adequate custom-made solutions...
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Posting Title: Officer in Charge, P5 Job Code Title: SENIOR LEGAL OFFICER Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station: ARUSHA Posting Period: 24...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Administrative Officer Title: Administrative Officer Reports To: Finance and Admin Manager Assignment Type: Consultancy Location: Dar es Salaam, Tanzania Length: March – October 2021 About JSI...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Naomba tu ushauri wa bure, huenda ukanipa mwanga. Mie yaani hadi leo hii nina interview more than ten Tanesco na kuna zingine najua kabisa hizi nimejibu well ila sijawahi hata kukosewa kuitwa kua...
2 Reactions
56 Replies
10K Views
Habari wakuu, natafuta kazi yeyote ile iliyo halila. Elimu yangu, nimemaliza form 6 na niko chuo sasa(present). Imebidi nisimamishe masomo ili nitafute kazi ili nijikimu kwa ada na matumizi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa Jamiiforums. Swali Langu ni kwamba, ningependa kuuliza jinsi au kwa njia gani naweza kuwasilisha maombi ya kazi kwa njia ya posta haswa kazi za serikalini ambazo ndio hupenda...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Mimi ni muhitimu wa Shahada ya Sayansi ya Wanyama (Bachelor of Science in Animal science) natafuta fursa tajwa hapo juu ili kukuza uzoefu zaidi katika sekta ya mifugo,viwanda vya bidhaa zote za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbuzi wa masikini hazai na akizaa ni dume usemi huu umedhijilika leo. Wiki iliyopita nilibahatika kupata kazi kama revenue officer ofisi za halmashauri ya jiji baada ya kupitia mchakato mrefu na...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana jamii? Matumaini yangu wote mpo salama,wale msio salama basi Mwenyezi Mungu awape nguvu kwenye kipindi hichi kigumu mnachopitia. Niingie kwenye mada moja kwa moja.Leo...
55 Reactions
69 Replies
8K Views
...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
Mpishi mzoefu na aliebobea katika mapishi ya aina mbalimbali anahitaji kazi.Iwe ajira ya kudumu au part time;nyumbani au hotel/mgahawani.Pia nafundisha wale wanaotaka kujifunza mapishi. Wasiliana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wapendwa poleni na majukumu. Tafadhali kumekuwa na wimbi kubwa la ukosefu wa ajira baadhi ya changamoto ni ukosefu wa marefa au conection au mdhamini eneo la mradi. Tafadhali kama wewe...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
JOB OPPORTUNITIES Bonyeza hapo chini kudownload document PDF: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI VETA, CBE, MNH PDF
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Risk Data Analyst- (1 Post) 2. Head, Personal Banking- (1 Post) 3. Senior Relationship Manager, Institutional...
1 Reactions
1 Replies
840 Views
Habari zenu jamani, hakika Dunia tambalabovu niukweli kwamba maisha yamenipiga nimepigika nipo chapachapa. Hivyo ninaomba kwaanaeweza kunisaidia Nipate shule yoyote ya kujitolea sitaki kulipwa...
10 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Me ninaishi Dar es salaam, nina stashahada ya ugavi ya chuo cha biashara. Ni muda nimeangaika na ajira mpaka ilifika hatua nikaamua...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Imepita wiki sasa baada ya Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam kufunga pazia la kupokea maombi ya kazi ya ukusanyaji ushuru je, kuna mtu alishaitwa au connection ni muhimu pia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom