Nina Shahada ya Kemia, natafuta kazi

Ndo tatizo la vijana wa siku hizi kuandika shida
Hiyo position ya quality Control and assurance ulikuwa unaifanya kwenye nyanja ipi maana inahusika na sehemu nyingi sana.
 
Mimi nimekuelewa sana, somo muhimu au core subject hapo ni Kemia. Mambo mengine na vipengele vyake havina umuhimu kwa sasa, cha muhimu ni kazi inayohusiana na kemia. Sasa sijui kwa nini watu wanaanza kuichambua kama vile huko kwenye chumba cha usahili?????
 
Name: Kanuti Daudi

Qualifications: Bsc in Chemistry

Work experience: 4 years on Quality control/ Quality Assurance assistant Head.

Searching Job vacancy related to above details.

Kijana elimu yako ya secondary umeichukulia Tabora igunga?
 
Nadhan kwenye Chemistry hatuna several types of QUALITY CONTROL/ QUALITY ASSURANCE ONLY GMP BASED .
Hujamuelewa kabisa swali lake.
Anataka kujua experience yako uliipata kwenye sector gani?
Quality assurance kwenye Food & beverages manufacturing,building materials & metals,Electronics devices,automobiles,Hospitality/Hotel?
Ilitakiwa ujibu swali based na hizo sectors wewe unaanza kuchambua topics ulizosoma shule who cares!
 
Name: Kanuti Daudi

Qualifications: Bsc in Chemistry

Work experience: 4 years on Quality control/ Quality Assurance assistant Head.

Searching Job vacancy related to above details.

Cheti chako kinaweza kukupa mkopo benki.andika propose itakayo tumia taaluma yako ili ujiajili kama utatengeza kemikali kwa ajili ya biashara upate kipato
 
Mimi nimekuelewa sana, somo muhimu au core subject hapo ni Kemia. Mambo mengine na vipengele vyake havina umuhimu kwa sasa, cha muhimu ni kazi inayohusiana na kemia. Sasa sijui kwa nini watu wanaanza kuichambua kama vile huko kwenye chumba cha usahili?????
Nashukuru kwa kunielewa uko sawa
 
Cheti chako kinaweza kukupa mkopo benki.andika propose itakayo tumia taaluma yako ili ujiajili kama utatengeza kemikali kwa ajili ya biashara upate kipato
Good Idea ila ni better nikatafuta capital through my proffesional mkopo stressed sana
 
Hujamuelewa kabisa swali lake.
Anataka kujua experience yako uliipata kwenye sector gani?
Quality assurance kwenye Food & beverages manufacturing,building materials & metals,Electronics devices,automobiles,Hospitality/Hotel?
Ilitakiwa ujibu swali based na hizo sectors wewe unaanza kuchambua topics ulizosoma shule who cares!
Sidhan kama mnaouliza mmesoma Chemistry au inakuaje. Yaani unao core subject Chemistry then unauliza category ???
 
Hapo ndipo mahali huwa mnafeli kwa kukariri notsi za darasani.
Wewe unafikiri Company directors anajua hayo matopics yako uliyosoma shule.
Yeye anaangalia tu experience yako uliifanya kwenye taasisi gani,akiona zinamatch na taasisi yake anakupa kazi.
Lakini ukianza kumention matopics ya shule utamaliza vitabu vyote hautapewa kazi

Bro Quality is not a topic is the routine to any company. Inspite what the company dealing with. Hata hotelia wana QA/ QC
 
Hiyo pcs nimeweka as reference nilikua naandaa motivation board kuhusu quality hiyo sio class topic
JPEG_20210223_150845_6033723017293296214.jpg
 
Bro Quality is not a topic is the routine to any company. Inspite what the company dealing with. Hata hotelia wana QA/ QC
ndicho hicho nilikuwa nakuuliza,kumbe unajua kwamba kwenye hotel kuna QA,sasa wewe ulifanyia wapi?mbona swali dogo tu hili
 
Hujamuelewa kabisa swali lake.
Anataka kujua experience yako uliipata kwenye sector gani?
Quality assurance kwenye Food & beverages manufacturing,building materials & metals,Electronics devices,automobiles,Hospitality/Hotel?
Ilitakiwa ujibu swali based na hizo sectors wewe unaanza kuchambua topics ulizosoma shule who cares!
nawewe basi hujamwelewa mkuu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom