Yaani kazi ya mochwari nikajitolee
Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani! Isitoshe unapata baraka za Mungu.Yaani kazi ya mochwari nikajitolee
Kujitolea haina malipoKazi ni kazi mradi mkono uende kinywani! Isitoshe unapata baraka za Mungu.
Lazima kuna posho kila baada ya shughuli!Kujitolea haina malipo
Unazijua changamoto zake hiyo kazi,Kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani! Isitoshe unapata baraka za Mungu.
Kazi ya mochwari nayo inahitaji vigezo?Asee hii kazi Ni ngumu Sana ila acha nikajaribu Kama nitaweza..lete vigezo
Hakuna kazi isiyo na changamoto, hivyo utakabiliana nazo kadri zinavyokuja!Unazijua changamoto zake hiyo kazi,
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
Thread starter | Title | Forum | Replies | Date |
---|---|---|---|---|
![]() |
Nafasi za kazi Singida united | Jukwaa la Ajira na Tenda | 1 | |
![]() |
Nafasi ya kazi: Business Manager | Jukwaa la Ajira na Tenda | 11 | |
H | Nafasi ya Kazi | Jukwaa la Ajira na Tenda | 4 | |
![]() |
Nafasi za kazi | Jukwaa la Ajira na Tenda | 3 | |
S | Nafasi za Mafunzo na Kazi | Jukwaa la Ajira na Tenda | 2 |