Msaada wa kuanzisha biashara ya Saloon

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
554
416
Habari zenu

Nimefikilia kuanzisha biashara itakayoniongezea kipato mawazo yangu yamefikia nifungue sallon ya kiume tu nimuweke mtu mimi huku niendelee na kishe nyingine.

Sasa msaada wangu ni huu nijipange kwa bei gani ili ninunue vifaa vyote vya saloon na hivyo vifaa ni vipi hasa vya kuanza navyo.

saloon itakuwa mtaani tu sio kubwa sana.
 
Saloon ni moja Kati ya biashara ngumu .. unanyoa mtu Leo mpaka week 2 zijazo ndo arudi tena. Naamnisha hivi yaani kila siku uwe unatengeneza wateja wapya .. hivi unaelewa nachozungumziaa? Nilishindwa nikaiuza aloinunua kapelekaga vioo vyake getho.
 
Wanakukatisha tamaa hao wachangiaji wwanzo


Usipokuwa na haraka hukosi buku 3 kwa siku.


Kwa anaetaka utajiri haimfai, lakin mnyonge utapata hela
 
biashara pasua kichwa, hii ni nzuri kama upo mwenyewe golini.
kukaa mwenyewe itakuwa ngumu

kwanza sio mtaalamu wa kuwanyoa watu

pili kuna kazi nyingine nafanya inayonipa kula na kuishi

hio ninayotaka kuianzisha inipe hata maendeleo kidogo
 
Back
Top Bottom