Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu nawasalimia! Kuna hii taasisi isiyo ya kiserikali inayoitwa Tanzania Mentors Action (TMA). Naomba kufahamu kama bado ina operate na je, wanalipa vizuri? Yeyote mwenye uelewa kidogo a nisaidie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni ya EASY CARGO LOGISTICS inayojishughulisha na usafirishaji wa Mizigo kutoka CHINA [emoji630]kuja Tanzania [emoji1241]kwa njia ya Ndege [emoji3575][emoji3575] inatafuta vijana wa sales and...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF. Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuuu Mambo vipi tena kwenu mimi Mtumishi wa Mungu, Naulizia hivi nani Mwingine katumiwa hii email ya fundsforafrica waliiiona Tangazo Mimi nimetumiwa lakini siielewi elewi Kwenye zile nafasi za...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Applications can be delivered through hard copy or soft copy. -- BRANCH MANAGER/ASSISTANT DUTIES AND RESPONSIBILITIES. Improve profit and attain sales target of the supermarket. Deal with all...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Habari za jioni ndugu Wana Jamii Forum, ni matumaini yangu ni wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu ya ujenzi wa Taifa latu pendwa la Tanzania. Mimi naitwa MGAYA MICHAEL, kutoka Chuo kikuu...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Natafuta vijana wa kazi ya Shamba la Mifugo. Nafasi ni mbili. Wawe na uzoefu wa kufuga kuku wa mayai na nyama pia,wafahamu chanjo muhimu na tiba pia.Elimu ya mifugo ni vyema lakini sio lazima...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
We are seeking creative, driven, and energetic marketing officers to become part of our growing marketing team. Candidates should have previous marketing experience in creating effective brand...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar Wana jf, katika kutafut experience pia na connection mbalimbali nimeona nipitie jukwaa Hili ikiwemo; Kupat kujiung na kazi za maswal ya usafilisaji ikiwa kam msaidizi, usimamiz, usafi N.k...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili ni swali kila mtanzania inabidi ajiulize. Unakuwa na Rais anasema polisi waache kuonea watu, hapo hapo anasema ameruhusu mikutano ya ndani ila haya maagizo yake yanakaidiwa na watu ambao...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari za muda huu... nakuja moja kwa Moja kwenye mada tajwa hapo juu.. mimi najiuliza hivi kwenye hili jukwaa kuna watu wamepata kazi au hata connection ya kazi maana kuna watu wameshakata...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, Mimi nikijana wa Kitanzania mkazi wa Temeke Dar es Salaam nina uhitaji wa gari namaanisha natafuta boss wa mkataba ama hesabu kwa tax mtandaoni malufu kama Uber. Nina acount ya Uber...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar wakuu Natafuta kitabu cha kampuni ni dhahabu ila sijuwi mwandishi ni nani,nataka niwasaidie wafanyakazi wangu kujua namna ta kuendesha kampuni, hope hicho kitabu kitawasaidia kujua mawili...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Salaam, Kama titlle inavoeleza,natafuta ambaye anayo account ya uber/bolt(driver account) na haitumii kwa sasa labda kapata mishe mingine. Kama unayo na ungependa kuitoa kwa mtu kuitumia katika...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Hello JamiiForums Family! I'm seeking for a connection if anyone can help, to get a Part-time job (Any! Even if it's involves physical activity) as i'm pursuing my Last Semester and i need to...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa mimi ni dada ninayeishi na virus vya UKIMWI na ninapenda kufanya kazi na taasisi zinazohusiana na mambo ya UKIMWI, nawaomba sana mtu yoyote anayezijua hizi taasisi aniunganishe nina elimu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jaman watu wa Mungu naombeni msaada wenu tafadhal mtaa unazidi kuwa wa moto naombeni mnisaidie nipo tayari kufanya kazi yoyote,mahari popote na kwa ujira wwt ili mradi mkono upate kwenda kinywani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
FURSA YA AJIRA YA MWALIMU MKUU : Anahitajika Mwalimu Mkuu haraka, sifa hitajika na namna ya kutuma maombi tafadhali Soma hapa chini. maombi yote yatumwe kwa barua pepe : anneyyamungu@gmail.com...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, Napata tabu sana na hii recruitment portal. Niliweka password ikakataa, nikachagua "forget password" ikanambia "password reset email sent" ni wiki sasa sijaona hiyo email. Nimejaribu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi,Nina active account ya Uber,Taxify na Little na Driving Licence class A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nina uzoefu wa kuendesha Uber hivyo nina experience na kazi hii.Naomba mtu mwenye...
1 Reactions
30 Replies
12K Views
Back
Top Bottom