Fursa ya kazi ya Sales and Marketing Officer

Aug 8, 2021
6
2
Kampuni ya EASY CARGO LOGISTICS inayojishughulisha na usafirishaji wa Mizigo kutoka CHINA kuja Tanzania kwa njia ya Ndege inatafuta vijana wa sales and marketing watakaosaidia kampuni kutafuta wateja wa kupakia mizigo yao kutoka China ili waweze kusafirishiwa kuja Tanzania.

SIFA ZA MUOMBAJI:

1. Awe ana uzoefu wa kazi ya sales. Hii ni must

2. Awe mchapakazi na ambaye anajiamini.

3. Awe mwaminifu na mwenye nidhamu ya hali ya juu.

4. Awe mtu mwenye ushawishi kwa mteja.

5. Uwe ni mtu unayekaa Dar na vilevile uwe unamiliki simu ya smartphone.

MSHAHARA:
• mshahara tunalipa kwa mwezi@tshs. 150,000/=.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi Whatsapp kwa namba 0686 117643.
 
150k sio mkuu bora ungesema unalipa kwa commission.

Kama wapo wa mshahara 150k mm nahitaji HR na customer care tu 😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom