Ninatafuta Gari ya Mkataba wa Gari au hesabu ya wiki kwa Uber

Kindam

Member
Jul 10, 2018
70
36
Habari wanajamvi,Nina active account ya Uber,Taxify na Little na Driving Licence class A,A2,B,C1,C2,C3,D,E,F,G Nina uzoefu wa kuendesha Uber hivyo nina experience na kazi hii.Naomba mtu mwenye gari ya Mkataba 175,000/- kwa wiki na kama hesabu ya wiki 160,000/-. Napatikana kwa namba 0687399176 naishi Dar es Salaam Wilaya ya Temeke.Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miezi 30 unajiumiza, kwa barabara zetu hizi utajikuta mkataba umeisha wewe unabaki na screpa.

Mind you, hilo gari limeshatumika hapa TZ, uliongezee miezi 30, hapo utaumia wewe.

Jaribu kuuliza wenzio wanafanyaje.
Acha kupotosha. Gari nyingi zinazoingizwa uber walotumia walikuwa wanaenda nazo ofcn nakupaki home. Gari ya style hiyo inaweza kaa miaka mitatu ukadhani ni mpya.

Kuna mzee mmoja alikuwa maarufu sana pale azikiwe anaitwa mzee papaa. Wa vingunguti. Alifanya gari taxi corola kwa miaka saba mpaka Mungu alipomchukua.

Courtesy of miamiatz
 
That is case to case, wewe umezungumzia kipindi anaichukua ili aanze kazi.

Je umefikiria atakapoichukua na kuanza kufanya kazi full-time itakuwaje?

30 months full time drive kwenye barabara zetu useme itakuwa bado sawa na mpya?

Ndiyo maana hata mfano umetaja wa mtu mmoja tu, kuna few people ni watunzaji, na mtu kama huyo mostly alikuwa anachagua aende wapi, anafanya kazi masaa fulani anapumzika.

Ukitaka kunielewa, mpe dreva wa uber gari akae nalo miaka 2 halafu lichukue.
Kwanza huwa siwezagi kumpa gari dereva ambae sio fundi. Pili gari nnalompa ni lakwake mkataba ukiisha silitaki tena. Inakuwa kama higher purchase transaction vile.

Courtesy of miamiatz
 
Ooh, so we are now speaking the same language.
Nilichopinga ni gari kuchakaa kwa miaka mitatu. Kuna basi moja la Dar Express siku linasajiliwa nilikuwa na jamaa akifanya usajili (clearing agent). That was 2013.

Siku moja nikalipanda kuelekea Arusha. That was 2017. Lipo poa sana tu. Nikamuuliza dereva hii gari naikumbuka namba yake mana jamaa (clearing agent) amesajili nilikuwa nae siku anasajili. Mmebandua plate number mkaweka gari ingine ama ni basi lile lile? Jamaa akanambia mzee haya madude mkataba miaka saba unapiga kazi tu. Muhimu maintenance tu.

So kuwa na gari inayofanya kazi kwa miaka mingi na bado inapiga kazi ni hali ipo sana tu. Wanaozijua ngorika, saibaba, etc wanalijua hili.

Kuna kidia one moja ina miaka mitatu barabarani jamaa anaeindesha best yangu sana tu na nikiiona huwa nahisi kama imetoka yard vile.

Nimekupa mifano ya mabasi mana yanapiga ruti ndefu sana kwa mwaka. Basi kwa mwaka ukisoma km za mwanzo wa mwaka afu ukaja kusoma km za mwisho wa mwaka kwenye odometer utapata wazimu. Zinafukia km nyingi sana kwa mwaka.

Courtesy of miamiatz
 
kaka asikuchoshe akili hyo, mm nina madereva wawili marafiki zangu wamemaliza mikataba na gari zipo katika hali nzuri wanakula bata tuu saivi akibisha anitafute nimuonyeshe vivid example. kikubwa kama ulivyosema bro maintanance na utunzaji. na kulitunza gari ukijua wazi utakapomaliza mkataba linakua lako.

nilichonote watu wanapenda kuziba riziki za wenzao kwa kuwakatisha tamaa. sio vizuri kabisa.

Kuna watu hawajawahi kumiliki gari na hawajui maisha ya gari yakoje. Wahurumie tu. Mm nimeona gari lenye zaidi ya miaka 20 hapa Tanzania

not but pray.
 
Leseni class E kwa nini ung'ang'ane na uber mzee?

Tafuta Lori la mafuta au mizigo uwe unatoka toka hapa mjini.
 
kaka asikuchoshe akili hyo, mm nina madereva wawili marafiki zangu wamemaliza mikataba na gari zipo katika hali nzuri wanakula bata tuu saivi akibisha anitafute nimuonyeshe vivid example. kikubwa kama ulivyosema bro maintanance na utunzaji. na kulitunza gari ukijua wazi utakapomaliza mkataba linakua lako.

nilichonote watu wanapenda kuziba riziki za wenzao kwa kuwakatisha tamaa. sio vizuri kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hesabu ya mkataba kwa kipindi hiki ni ngapi na mkataba ni muda gani??
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom