Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Jamani napenda kuwashukuru wana JF wenzangu, kupitia nyinyi nimeweza kupata kazi japo ilikuwa ni ya muda mfupi lakini kwa nilichopata ninawashukuru sana tena sana. Haya maisha inabidi tusaidiane...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habarini wakubwa, Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua namtafutia mtu dada wa kazi kwa bahati nzuri nikapata contacts za wadada 5 wa ziada walikua wanatafuta kazi. Kuna ambao wapo Dar na wengine...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Changamkieni fursa vijana.
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Soma zaidi hapa chini
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu. Nimekuja kwenu nikiwa naamini kwa namna moja ama nyingine nitaweza kusaidiwa kupata kazi. Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa Dar es Salaam. Elimu yangu ni...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021 Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza kama kuna mwenye taarifa zozote kuhusu kazi za BOT zilizotangazwa mwezi July; Vipi washaanza kuita watu au bado. Mwenye taarifa atufahamishe.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hivi shirika lipi la mambo ya afya ambalo naweza kujitolea ili baadae nipate kupata nafasi ya kuajiriwa zikitokea, maana nimejaribu baadhi nimekosa kabisa.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, poleni na maombolezo. Nirejee kwenye kichwa husika. Hivi ni vigezo gani vinatumika sana katika kuajiri wafanyakazi katika mashirika makubwa kama vile UNICEF, WHO, AMREF...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta kazi yoyote ile halali, bila kuchagua kiasi Cha mshahara ila kiwe kinamudu mahitaji ya Mtanzania wa chini. Elimu yangu Chuo kikuu (hii level ya elimu ni kama CV tu, but mshahara wowote...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kujaza vizuri profile yako kwenye LINKEDIn kwaweza kusaidia kupata kazi Msikilize huyu Profesa ili usijaze hovyohovyo
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu watanzania Mi ni kijana umri miaka 25 Nasoma afya ya wanyama chuo cha kilimo na mifugo kaole bagamoyo mwaka wa pili Natafuta nafasi ya kujitolea kwenye sekta ya afya ya wanyama...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Mwaka 2018 ilianzishwa kampuni ya usafiri ya tax kwa mkoa wa Mwanza Taxify baadae wakajiita BOLT, Madereva walihitajika kuhudhuria mafunzo ya siku moja, karibu na Rocky City Mall, waliohudhuria...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC. ========= WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA) Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Natafuta kazii hata kama ni ya kujitolea ambayo itaniwezesha kukidhi mahitaji yangu, kwa sasa naishi Dar, nipo tayari kufanya kazi mahali popote, Nina uzoefu kutumia computer...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom