Dereva mtandaoni, natafuta gari ya mkataba

kizunga jr

New Member
Apr 29, 2021
4
45
Habari,

Mimi nikijana wa Kitanzania mkazi wa Temeke Dar es Salaam nina uhitaji wa gari namaanisha natafuta boss wa mkataba ama hesabu kwa tax mtandaoni malufu kama Uber.

Nina acount ya Uber, Bolt na litle ride zote ziko active nina uzoefu wa miaka2 kwenye kazi hii nina reseni staiki inayo luusu kushulika na uber napatikana kwa namb 0745003679.

Asante
 

kizunga jr

New Member
Apr 29, 2021
4
45
habari ya muda huu wakuu naitwa kessy napatikana temeke ni dereva wa mtandaoni mwenye uzoefu usio pungua miaka2 na nusu nina uwitaji wa gari lakufanyia kazi niko tayali kuudumu kwa mkataba ama hesabu napatikana kwa 0745003679 asante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom