Recruitment Portal ina shida gani?

Recruitment Portal ina shida gani?

Joined
Aug 19, 2021
Posts
54
Reaction score
78
Wakuu,
Napata tabu sana na hii recruitment portal.

Niliweka password ikakataa, nikachagua "forget password" ikanambia "password reset email sent" ni wiki sasa sijaona hiyo email.

Nimejaribu mara nyingi sana bila mafanikio.

Kama inavyoonekana hapa chini.

Nifanyeje waheshimiwa?

Bila kusahau donge nono kwa atakayenisaidia kufanikiwa kupata ajira.
IMG_20210823_084327.jpg
 
Donge la Nini mkuu na utasaidiwaje kupata ajira
Fuata tu taratibu zote ufanye usaili na ukifanikiwa kufika oral nitafute nikupe hints za UHAKIKA...ZA UHAKIKA ZA UHAKIKA
WE KACHEKI LABDA KWENYE EMAIL WAMEKUTUMIA PASSWORD

ILA UKIFAULU MPAKA ORAL NICHEKI
 
Kiukweli UTUMISHI ktk huu mfumo wameonyesha mapungufu makubwa sanaaa
Yaan kikichotokea leo pale CBSL T1 ktk usaili wa PO hakika huu mfumo hamna la maana zaid ya kurahisisha tu utumaji wa barua kutoka paper based kwenda ktk digital base
 
kimetokea nn mkuu
 
Donge la Nini mkuu na utasaidiwaje kupata ajira
Fuata tu taratibu zote ufanye usaili na ukifanikiwa kufika oral nitafute nikupe hints za UHAKIKA...ZA UHAKIKA ZA UHAKIKA
WE KACHEKI LABDA KWENYE EMAIL WAMEKUTUMIA PASSWORD

ILA UKIFAULU MPAKA ORAL NICHEKI
Sawa mkuu. Asante
 
Wakuu,
Napata tabu sana na hii recruitment portal.

Niliweka password ikakataa, nikachagua "forget password" ikanambia "password reset email sent" ni wiki sasa sijaona hiyo email.

Nimejaribu mara nyingi sana bila mafanikio.

Kama inavyoonekana hapa chini.

Nifanyeje waheshimiwa?

Bila kusahau donge nono kwa atakayenisaidia kufanikiwa kupata ajira. View attachment 1904307

Unataka kuhonga ili upate kazi ? Tena za serikali?.. tayari ushakosa sifa namba moja ya utumishi wa umma INTEGRITY!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom