Naanza kukisoma kila nikipata muda. Asantehabari KIN NIGGA vipi ulifanikiwa pata hicho kitabu. kweli ilikuwa sikijui ila nimetafuta nimepata ni kizuri kweli kwa mtu yeyote anaetaka kufanya biashara kufanya. ila ningependa kushare ili jamii ya jamiiforums waweze kusoma na kuelewa abcd....