Nakuja mbele yenu naomba kujulishwa shirika lolote lisilo la kiserikali (NGO) inayojihusisha na masuala ya kijamii na maendeleo

Aug 15, 2021
49
45
Habari za jioni ndugu Wana Jamii Forum, ni matumaini yangu ni wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu ya ujenzi wa Taifa latu pendwa la Tanzania. Mimi naitwa MGAYA MICHAEL, kutoka Chuo kikuu Cha Sokoine Cha Kilimo(SUA) , mwaka wa tatu(finalist) nimesoma Bachelor of Rural Development (BRD)
Nakuja mbele yenu naomba kujulishwa shirika lolote (NGO) inayojihusisha na masuala ya kijamii na maendeleo ambalo huwa linapokea temporary job applicants (Graduates) au taasisi zinazolipa vzur watu wanaojitolea.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati!
 
nikituma Ina Rudi na ujumbe huu kuwa haijawa delivered, any help

Screenshot_20210824-085813.png
 
Back
Top Bottom