Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu ni matumaini yangu mnaendelea vizuri. Naomba kuulizia sehemu ambazo mtu aliyemalizia masomo yake kwenye taaluma ya mechanical engineering anaweza kwenda na kupata experiences itakuwa poa...
1 Reactions
1 Replies
597 Views
Hello members, We are experienced and professional Project Managers. We offer services in various areas of project Management. We would like to offer services to an individual, or organization...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Natafuta kampuni au mtu binafsi , permanently, ambae nitafanya nae kazi ya ku Delivery, Documents, au bidhaa yoyote Kwa makubaliano .. Wale ma Agents wa kutoa mizigo bandarini, nipo hapa, Nina...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye jedwari linaloonyesha annua increment ya kila mwaka kwa kada ya ualimu tunaomba atupie hapa tuone kinachoongezeka maana ongezeko la mshahara hapo ni 50% 50%
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Hivi haya maongezeko na madaraja serikali hupandisha mwezi upi? Mara nasikia mwezi wa saba mara mwakani, haya wajuzi wa mambo naomba msaada nimeajiliwa mwaka juzi tu hapa misitu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habarini za leo. Natumaini mnaendelea vyema. Kiufupi ni kwamba nimesoma degree ya education (ualimu) na masters pia ya rural development. Nataka kupata nafasi jeshini na kwa bahati nzuri...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari zenu wadau ,samahani hawa jamaa wa Danida -ubalozi wa Dernmark walitoa tangazo la nafasi ya kazi post ni Accountant ,Naomba kama kuna Mtu ana any feedback aniambie.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna dogo ameniuliza maswali hapa, ikabidi nimwambie asubiri kidogo nimebanwa na majukumu, ila tu ni kwa sababu ya kutokuwa na uzoefu na hiyo scenario nakosa chakumjibu. Yeye ameomba kazi zaidi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA AWALI YA UCHUNGUZI Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wapendwa habari! Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate. Nakuja kuangalia CV...
1 Reactions
108 Replies
33K Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 23-11-2022 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mimi ni binti wa miaka 26 elimu yangu stashahada ya utunzaji fedha. Ila sichagui kazi kikubwa iwe tu ya halali 🙏kwa kua hali ngumu. Kazi ambazo naweza kufanya Utunzaji stoo Mapokezi Mauzo (sales...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa nini ulipe gharama kubwa kuandika CV, fahamu kuwa unaweza kuandika cv yako kwa urahisi zaidi popote ulipo na ukaipata .Fuata maelekezo. 1. Ingia kwenye tovuti ndogo My professional CV 2...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana JF! Nimekutana na watu mbali mbali wenye shida kwenye application za ajira portal, tamisemi, pamoja na sehemu nyinginezo. Hivyo basi nimeamua niwapatie solutions mbali mbali kwenye...
1 Reactions
3 Replies
700 Views
University of New South Wales is hiring a fully-funded PhD student to join our team working on Underground Hydrogen Storage (UHS) project. This project aims to study hydrogen-water multiphase flow...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Kichwa Cha habari kipo wazi sana Kama kinavyojieleza NALIA NGWENA nimeamua kutoa ushauri/ronja kwa vijana wenye ndoto yakufanya kazi za majeshi kupitia JKT/Nini Cha kufanya ukiwa mtaani kipindi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hi, Kijana wa kazi yupo kwa muhitaji wa kijana wa kazi usafi wa mazingira kukata maua nyasi na kazi zingine za kusafisha mazingira. Kukaa kwa boss mshahara wa maelewano
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Sorry nilituma maombi ya kazi UDSM ila wakati natuma sikuwa nimeweka profile picha, nimeweka picha deadline imeshapita. Je, Kunaweza kukawa na shida na kusababisha nisiwe shortlisted? Msaada wadau🙏
1 Reactions
8 Replies
837 Views
Katika hangaika yangu ya kusaka tonge hasa katika hizi interviews za utumishi, nimegundua Kuna baadhi ya post huwa hazina waombaji wengi. Nitachukulia mfano kwa post za educational psychology...
8 Reactions
155 Replies
15K Views
Kichwa Cha habari kipo wazi sana Kama kinavyojieleza NALIA NGWENA nimeamua kutoa ushauri/ronja kwa vijana wenye ndoto yakufanya kazi za majeshi kupitia JKT/Nini Cha kufanya ukiwa mtaani kipindi...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom