Natafuta kazi ya Delivery

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
543
1,163
Natafuta kampuni au mtu binafsi , permanently, ambae nitafanya nae kazi ya ku Delivery, Documents, au bidhaa yoyote Kwa makubaliano ..

Wale ma Agents wa kutoa mizigo bandarini, nipo hapa,

Nina piki piki, aina ya boxer,. Napatikana dar es salaam, kigamboni

Kama utakuwa interested, naomba unichek PM..
 
Natafuta kampuni au mtu binafsi , permanently, ambae nitafanya nae kazi ya ku Delivery, Documents, au bidhaa yoyote Kwa makubaliano .
Kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Hata kama ni kiswanglish haiwezi kuwa kazi ya "ku delivery"... na pia baada ya kuandika ku delivery ukaweka koma sijui ulitaka iweje?? kijana ninakushauri siku nyingine tumia lugha ya kiswahili ambayo ndo unaimudu. Kama bado ni ngumu omba mtu akuandikie
 
Kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Hata kama ni kiswanglish haiwezi kuwa kazi ya "ku delivery"... na pia baada ya kuandika ku delivery ukawela koma sijui ulitaka iweje?? kijana ninakushauri siku nyingine tumia lugha ya kiswahili ambayo ndo unaimudu. Kama bado ni ngumu omba mtu akuandikie
Angalia wewe, ulivyo andika " Ukawela " ndio Nini, mtaalamu wa kiswahili?
 
Kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa elimu. Hata kama ni kiswanglish haiwezi kuwa kazi ya "ku delivery"... na pia baada ya kuandika ku delivery ukawela koma sijui ulitaka iweje?? kijana ninakushauri siku nyingine tumia lugha ya kiswahili ambayo ndo unaimudu. Kama bado ni ngumu omba mtu akuandikie
Ukawela , maana yake Nini ? Wewe oni sigala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom