Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 452
Habari zenu wadau ,samahani hawa jamaa wa Danida -ubalozi wa Dernmark walitoa tangazo la nafasi ya kazi post ni Accountant ,Naomba kama kuna Mtu ana any feedback aniambie.
Thanks ndugu but kuna kipindi ukikaa kimya inakuwa vizur zaidi it better ungeuliza tangazo limetoka lini na wapi , and dont forget hakuna binadamu ambaye ni perfect but thanks any way
jamaa kakujibu vizuri tu mbona?
Ngoja niquote hiiHabari zenu wadau ,samahani hawa jamaa wa Danida -ubalozi wa Dernmark walitoa tangazo la nafasi ya kazi post ni Accountant ,Naomba kama kuna Mtu ana any feedback aniambie.