holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 884
- 1,400
Wakuu habarini za leo. Natumaini mnaendelea vyema.
Kiufupi ni kwamba nimesoma degree ya education (ualimu) na masters pia ya rural development. Nataka kupata nafasi jeshini na kwa bahati nzuri msaada wa kupata nafasi upo.
Tatizo ni Kila ninaemwambia nataka kwenda jeshi ananiambia niache japo pembeni na kufa na kuteseka hakuna alienipa sababu nyingine. Wakuu wenye expirience na hiyo kazi naombeni kujua matatizo
Mnayokumbana nayo nipime kama ntaweza kuishi nayo.