Namna ya kutengeneza CV kwa urahisi zaidi

Dec 17, 2022
73
43
Kwa nini ulipe gharama kubwa kuandika CV, fahamu kuwa unaweza kuandika cv yako kwa urahisi zaidi popote ulipo na ukaipata .Fuata maelekezo.

1. Ingia kwenye tovuti ndogo My professional CV
2. Nenda sehemu pa View web version.
3. Bonyeza CV form
4. Chukua link ya CV yako.Iandike google search
5. Tengeneza CV yako ndani ya dakika 15
6. Angalia kwenye email yako CV itakuwa tayari.

Just simple, see you at the top.
 
Then what?
Screenshot_20230429-121254.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom