Uzi wa wale tulioshiriki oral interview na hatukubahatika kuitwa

phael vet

Senior Member
Sep 30, 2016
126
82
Mambo zenu wakuu kuna wale tuliopambana kufaulu mitihani ya written na kubahatika kuitwa Oral Dodoma na hatujaitwa kazini mpaka leo kwa kada za Afya, Maendeleo ya jamii, Afisa mifugo msaidizi II n.k karibuni tujadili pamoja na kushea uzoefu wa hapa na pale.
 
Mkuu siyo Kila ambae hajaitwa kazn alifeli.

Mchakato wa ajira za utumish ni mrefu mno,maana utumish wakifanyisha interview wanasbr Tena ruhusa ya kuitwa watu kwenda kurpoti kwenye taasis husika.

Kuna ambao walifanya interview mwaka Jana mwez wa sita na wameitwa mwaka huu mwez 8.

Unaweza ukaona wamekaa mda mrefu sana Zaid ya mwaka.

Kikubwa ni kuvumilia tu.. Wakat ukifanya harakat zngne za hapa na pale Ili kupata mkate wa Kila siku maan huwez kujua oral ulifaulu au ulifeli.
Unajua mkuu mungu Akulinde
 
Mambo zenu wakuu kuna wale tuliopambana kufaulu mitihani ya written na kubahatika kuitwa Oral Dodoma na hatujaitwa kazini mpaka leo kwa kada za Afya, Maendeleo ya jamii, Afisa mifugo msaidizi II n.k karibuni tujadili pamoja na kushea uzoefu wa hapa na pale.
Kwani za maendeleo ya jamii zile 800 zimetoka mkuu?
 
Back
Top Bottom