Position: Software Developer (4 Posts)
Location: Arusha, Tanzania
Duration: Full Time
Key Responsibilities
– Maintain and develop the existing Management Information System comprising of Apps...
Position: Accountant
Location : Arusha Tanzania
Position Description
Preparing and reconciling daily sales report and post to the system.
Analyzing, vouching and verifying all retirements from...
Work reference no: 007/2023
Position: Senior Risk Officer
Supervisor: Head of Risk and Compliance
Responsibility:
The purpose of this role is to establish, implement and enforce a robust bank...
Work reference no: 008/2023
Position: Field Officer Supervisor
Reporting to: FAST Product Manager
Responsibility:
Setting/Agreeing targets with Field officers
Agreeing daily activity plan with...
Wakuu habari zenu?
Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo.
Ahsante...
Kwa wale wanaotegemea kufanya usaili wa kazi Leo katika Taasisi na Makampuni mbalimbali, Hakikisha haya maswali una uelewa nayo, haya ndiyo yanakupa asilimia nyingi za kupata kazi;
10 classic...
Habari wana jf mimi uzoefu katika vitu vifuatavyo
Kuchoma kuku zote
kuchoma nyama zote
kuchoma samaki
vilevile kupika local soup kama kongoro,vichwa vya mbuzi,samaki
vile vile kupika bites kama...
Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu.
Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa.
Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake...
Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba...
Habari zenu, naomba kuuliza, niliapply nafasi za tra mwezi june, wametoa majina na sijawa shortlisted, kwa yeyote anayeweza kujua nini ilikua shida anipatie majibu please, maana nimewapigia tra...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Najua nafasi za kujitolea hazinaga mshahara ila baadhi ya mashirika au taasisi huwa wanatoa walau pesa ya nauli na chakula
Je kuna mtu yeyote humu kashawahi...
Wadau JamiiForums,
Naombeni kwa Yoyote anayeweza kunipa mbinu za kwenda dar kufanya interview Alafu nikimaliza nirejee kazini cku ya j3 maana interview yenyewe ipo dar na mm nipo singida. Je...
Wadau Samahani Naomba msaada wa namna ya kuandika barua ya kurudi katika Utumishi baada ya kuondoka kazini bila kuaga na kupewa barua ya kufukuzwa kazi.
Nilikua mtumishi katika wizara ya Elimu...
Maisha haya daaaah nina certificate ya Maendeleo ya Jamii, nina Diploma ya Maendeleo ya Jamii, na nina Degree ya Maendeleo ya Jamii na nipo mtaani tu sina kazi najipambania tu na vijimishemishe...
Nahitaji watu wanaoweza kusikiliza kiingereza kisha kuyaweka hayo maneno kwa maandishi. Kazi ipo kila wiki mara tatu, si zaidi ya dakika 20 kila mara. Ikizidi dakika 20 tutakuongezea mpunga...
Habari za Jioni wana JF,
Moja Kwa moja Naomba niende kwenye mada yangu napenda kufahamu kitu flani hvi- Kuna jamaa angu aliomba kazi US- Embassy hapa DSM na akafanya usaili wa kingereza akapita...
Salaam wakuu, Nime ona ni share Fursa hi ya nafasi za kazi zilizo patikana
👉Wana hitajika wataalamu wawili, wa kushughulikia maswala ya umeme wa viwandani.
👉Pamoja na mtu anae jua lugha ya...
Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato.
Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.