Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,528
- 12,955
Wakuu mliopo mjuu naomba mtupe ndondondo za maisha ya kujitafuta kwa njia ya kupiga box visiwa vya malta.
Kazi za aina iyo zipo?
Kama zipo za je mgeni anaweza kutumia makeke gani kuzipata?
Na je mazingira ya kuzamia katika visiwa hivyo yanaruhusu?
Je malipo yake inakuwaje kulinganisha na uarabuni?
The Icebreaker Kiranga Mcanada Per Diem Kalunya babukijana Dr Matola PhD Bufa
Wako katika kujitafuta
Sa 7 mchana