Natafuta kazi, nina fani ya Ufundi umeme

Jul 4, 2021
13
11
Habari zenu,

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24.

Ninatafuta kazi yeyote ya kujikimu kimaisha kwa sababu ndio kwanza ninayaanza maisha.

Fani yangu ni ufundi umeme na nimefanikiwa kusoma veta mpaka level 2 ya umeme.

Ila ikipatikana tofauti na hiyo ninafanya.

Nipo Dar kwa sasa
 
Kuliwa kuna nafasi ya fundi umeme american embasy nathani deadline yao sijui km imefika au lah jaribu kuingia kwenye webite yao
 
All the best..
Lakini hata kama una Multimeter, Pliers na screwdriver kadhaa...
Chapisha vipeperushi tu vya black and white, toa copy nyingi na anza kusambaza kila sehemu hata kwenye maduka ya Mangi, vibanda vya chips na unaweka namba ya simu watakutafuta tu..
Au vingine unapaka gundi na kubandika sehemu zote muhimu unadhani vitaonekana na kusomwa
Kazi njema....
 
Habari zenu,

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24.

Ninatafuta kazi yeyote ya kujikimu kimaisha kwa sababu ndio kwanza ninayaanza maisha.

Fani yangu ni ufundi umeme na nimefanikiwa kusoma veta mpaka level 2 ya umeme.

Ila ikipatikana tofauti na hiyo ninafanya.

Nipo Dar kwa sasa
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Habari zenu,

Mimi ni kijana nina umri wa miaka 24.

Ninatafuta kazi yeyote ya kujikimu kimaisha kwa sababu ndio kwanza ninayaanza maisha.

Fani yangu ni ufundi umeme na nimefanikiwa kusoma veta mpaka level 2 ya umeme.

Ila ikipatikana tofauti na hiyo ninafanya.

Nipo Dar kwa sasa
Chuo cha ufundi stadi-KIDT-VTC MOSHI, tunahitaji Mwalimu wa Refregerations & Airconditions.

Awe na uwezo wa kufundisha Level 1-3 hususani kwenye Vitendo na nadhari:

Aliye tayari na interest ya kufanya kazi aWasiliana na mkuu wa chuo 0754469894

Nafasi inahitaji mtu na Unaweza tuma maombi,cv nav yeti vyako kwa whatsap no 0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom