Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
MHESHIMIWA WAZIRI. Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mji wa Serikali Mtumba Mtaa wa Utumishi. S.L.P 670. DODOMA, TANZANIA. Yah: MAPUNJO YA DARAJA KWA WALIMU...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Tunatafuta mtu wa mauzo wa muda wote atakayeweza kushughulikia na kuwasiliana na wagonjwa, kufanya ufuatiliaji, na kuwashawishi wateja kupitia simu na mitandao ya kijamii kama WhatsApp. Mtu...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Anonymous
Ninapenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto ya kiufundi iliyopo kwenye mfumo wa Ajira Portal, ambayo imenizuia kuwasilisha maombi ya nafasi ya Assistant Lecturer in Psychology...
1 Reactions
2 Replies
142 Views
Habari wakuu! Nilikua naomba konekshon ya kazi. Tanzania hii, ila ikiwa Mwanza itapendeza zaidi. Nimesomea mambo ya ustawi wa jamii(social work). Mwnye fursa kwa unyenyekevu sana naomba unisaidie..
1 Reactions
5 Replies
112 Views
Habari za kazi ndugu wana jamii forum kwa majina naitwa mimi ni mhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji NIT katika kozi ya transport and logistic in road and railway. Nimekuja jukwaani kwa...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous
Kuna shida kubwa sana kwa Watumishi kupewa vibali vya uhamisho na bila kuhamisha mishahara yao kwenda halmashauri husika walipohamia. Mfano mimi huu ni Mwaka wa Pili mshahara bado haujahamishwa...
0 Reactions
2 Replies
320 Views
Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume. Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa...
7 Reactions
18 Replies
348 Views
Anonymous (7509)
Sisi watumishi wa TTCL Corporation tunakabiliwa na changamoto kubwa licha ya kutekeleza majukumu yetu kwa bidii na kujaza taarifa za utendaji kazi kwenye mfumo wa ESS Utumishi (PEPMIS) kama...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Anonymous (b466)
Ninafanya kazi katika kampuni hii kwa zaidi ya miaka mitatu, lakini hadi sasa bado ninadai mishahara ya kipindi kilichopita ambayo sijalipwa. Mbali na kucheleweshwa kwa mishahara, hivi karibuni...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Anonymous
Mdau, naomba kuuliza na kupata ufafanuzi kuhusu suala la ajira hewa au ajira zisizotekelezwa kwa wakati. Ni kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi kwa wakati au zinabaki kwenye...
0 Reactions
2 Replies
99 Views
Kuna mwenzetu aliomba ajira hizo sasa majibu yakishatolewa na yeye kwenye account yake ikawa hivyo hadi leo ,hii shida ni nini ?na akiview inakuja blank page 🤔🤔
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Habari ! Natafuta kazi ya udereva wa magari ya abiria, taasisi au hata ya binafsi. Nina umri wa miaka 27 vyeti halali na leseni daraja D, C1, C2 na C3. Nina uzoefu wa miaka 3 katika udereva...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Anonymous
Mwaka jana pia waliambiwa watalipwa nusu lakini Kwa kuvutana sana wakalipwa 1,050,000 ambayo sehemu nyingine pia wamelipwa hivyo na Halmashauri zao. Je, Serikali inaleta mapunjo ya fedha hizo za...
1 Reactions
6 Replies
112 Views
Habari. Mimi ni dereva wa daraja la VIP (Grade II) natafuta kazi ya udereva. Nina umri wa miaka 32 na nipo Dar es Salaam. Nina cheti cha udereva kutoka VETA na pia cheti cha Kidato cha Nne (Form...
1 Reactions
2 Replies
144 Views
Wakuu naombeni connection ya sales executive nina uzoefu wa miaka miwili kutoka kwenye kampuni kubwa, kama kuna kazi tofauti na hyo nipo tayari kuifanya nipo dar, 26yrs
1 Reactions
1 Replies
82 Views
HALMASHAURI YA WILAYA YA BUSEGA KUNA UTAPELI MWINGI KWA VIONGOZI TUNAOMBA WACHUNGUZWE. Mimi ni mwajiriwa kada ya afya ni nurse by professional, niliajiriwa mwaka Jana lakini cha kushangaza Toka...
1 Reactions
8 Replies
157 Views
Anonymous
Wasalamu Napenda kutoa kero yangu iliyonisibu na kuharibu maisha yangu kwa kiasi fulani. Na Ilichangizwa kwa namna moja na uelewa wangu mdogo kwenye masula ya mikopo kipindi hicho, Ila pia...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili jukwaa lilikua chachu ya watu kupata opportunities za ajira,internship ,networking na mambo mengine mazuri Cha kushangaza sasa baadhi ya watumishi wa umma wameligeuza kuwa sehemu ya...
1 Reactions
2 Replies
116 Views
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina. Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti...
2 Reactions
1 Replies
149 Views
Anonymous
Wilaya ya Tabora baadhi ya shule binafsi za sekondari atujalipwa pesa zetu za usajili mtihani wa taifa NECTA kidato cha pili na nne wanafunzi tuliowasajili ni wa Taasisi ya Elimu ya Watu wazima...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Back
Top Bottom