Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

sikujua kama kutafuta kazi ni shughuli nzito hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Ndugu wanajamii kwa yeyote aliye sikia mahali penye kazi za muda mfupi za data collection anijulishe, nina experience therefore the output itakuwa nzuri sana. Nijulishe kwa message kwenye 0714...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mlioko tayari,vijana kumi tufungue saccos yetu,kama mpo tayari niambieni tupeane ujanja wakuandika proposal chap.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nauza kuku wa nyama wa kizungu walokomaa vzur, kwa jumla na rejareja. Contacts 0787-141214, 0717-733842
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Yenye uwezo wa kusukuma watt 100 subwoofer pia iwe chini ya elfu 60
0 Reactions
1 Replies
2K Views
asanten wadau
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari...! Nahitaji mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare ya chuo...kama unaweza deal hiyo nipe namba yako tuwasiliane!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mi ni mwalimu wa wa sec diploma holder wa history na geography natafuta shule ya kufundisha dar au mkoa wa pwani nimefundisha sana mbali na dar sasa nataka kufanya kazi nyumbani(dar) uzoefu miaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
mm ni kijana wa kitanzania. Ambaye nimemaliza DEGREE YA KWANZA MWAKA JANA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-LAAM.BCOM. ila daah? nime apply mpaka nimechoka ngoma bilabila. Ila bado najipa moyo kama alivyosema...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nasoma BA in Economics. Ninauwezo mzuri wa kutumia kompyuta na statistical package kama SPSS na E-views . Kwa sasa niko hapa Dar na nitafanya mahali popote.<br...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni specialist kwenye computer maintanance & repair in software & hardware!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WAmeshaanza kuita?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Assistant Lecturer (PUTS 14) The Open University of Tanzania Date Listed: 25/08/2011 Phone: N/A Area: Dar Es Salaam Application Deadline: 09/09/2011 Position Description: From: Daily News...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wadau kwa tanzania ni offisi zipi au kampuni gani nawezapata kazi za kuchimba mafuta na gesi......,,mdau nipo norway..
0 Reactions
0 Replies
3K Views
GPA 3.5 and above at undergraduate plus GPA 4.0 at Master's. Waombaji wenye sifa jitoseni. Anuani, Rector, IRDP, PO Box 138 Dodoma.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Katika sehemu nliyojishikiza, sasa wameniambia wataniajiri! Hofu yangu ni jinsi gani nta-bargain hata kufikia kiwango nachokihitaji mimi! Kwa waliowahi pitia hili naomba msaada wenu!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ndugu wana jf, jana kuna tangazo lililetwa hapa jamvini na kampuni moja inajiita plusfinance wakasema kwamba wanahitaji watu kwa ajili ya business planing training ambayo itafanyika tarehe 26/27...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wADAU NIMESIKIA HIVI KARIBUNI UBALOZI WA SWEDEN HAPA BONGO WALITOA NAFAS YA KAZI, KUNA YEYOTE ALIZINYAKA ANIJUZE NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
3 Replies
4K Views
SISI ni mafundi wa kutengeneza sofa na kwa wale wanaotaka kubadilisha cover ya sofa tutafanyia nyumbani hapo hapo kwa bei rahisi
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom