Natafuta kazi jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi jamani

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by UKWELIWANGU, Aug 25, 2011.

 1. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mm ni kijana wa kitanzania. Ambaye nimemaliza DEGREE YA KWANZA MWAKA JANA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-LAAM.BCOM. ila daah? nime apply mpaka nimechoka ngoma bilabila. Ila bado najipa moyo kama alivyosema UPENDO NKONE.''NAJIPAMOYO''. Na naendelea kutumamaombi.
  kwa sasa nipo bush najitolea katika NGOs kama MUHASIBU. nimeanza kujitolea APRIL 2011 MPAKA SASA NAENDELEA.  NAOMBENI WANA JAMII YEYETO ANAEWEZA KUNISAIDIA TUWASILIANE KUPITIA E-MAIL '' kkipengele @ yahoo.com''

  Natanguliza shukrani zangu kwenu.

  thanx
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ulispecialize ktk nini?
   
 3. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejieleza vizuri tu ila kwa nyongeza ni mespecialize in ACCOUNTING
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 857
  Trophy Points: 280
  Piga Cpa kwanza.
   
 5. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Usiwe na wasiwasi hapo ulipo pata experience na piga CPA...NGO iko poa kabisa
   
 6. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mzee usikate tamaa....... ukiona hivi unakaribia kupata........... Utafutaji kazi ni sehemu ngumu ya baada ya shule..........
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Kama wengi walivyosema ukipiga ka-CPA utakuwa mobile zaidi.
   
 8. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  unatakiwa ujisaidie, hakuna wakukusaidia jishike vizuri, utashikwa......! unaonekana si mtu wa kunetwork sana wewe au huwa hupendi kufuatilia mambo....UDSM pale huwa kuna waajiri kama PWC, deloitte, E&Y etc mkimaliza tu huwa wanakuja pale kurecruit vijana.....huwa hawaangalii GPA, kozi wala nini, unapiga Aptitude test tu...ukifaulu hiyo unaingia level nyingine za interview etc etc....wewe ulikuwa wapi hukuziona hizo?

  Pili, Access Bank wanaajiri vijana kila leo tena any graduate kuwa credit officers, ukipeleka CV tu lazima uitwe tu.....wewe uko dunia gani bana? au unachagua kazi wewe?
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  ungejibu swali langu, kujieleza vizuri ni kupi ikiwa umedai unajitolea kama mhasibu, ninavyojua mimi Bcom yeyote anaweza fanya kazi ya uhasibu.
   
 10. K

  Kikongwebbibi New Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usikate tamaa, endelea kutafuta ipo siku utapata na hapo ulipo fanya kazi kwa bidii ili uive
   
 11. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asanten kwa ushauri wenu. i
  kupiga CPA napenda ila tatizo mshiko ( pesa) ya kufanyia hiyo CPA.
  Ndomaana natafuta kwanza kazi ili nikipata pesa nifanye hiyo CPA.

  naomba kuwasilisha.
   
 12. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao jamaa sawa wanakuja lakini GPA huo ndio nguzo yao kubwa.
  kuna jamaa zangu ambao tulifanya nao wote hiyo michakato na wna GPA 3.6.
  pi . walikosa kama mm nilivyokosa.
  walichukua GPA. KUBWA ZAIDI.

  HAYO MASHIRIKA WANACHUKUA VYUO VINGI ILA WANA TAKA THE BEST GPA
   
 13. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wewe ulikuwa na GPA ya ngapi? after all, GPA si big deal, issue ni wewe unajiuzaje mtaani, unaelewa nini, unaweza kumsaidia mwajiri kwa kiasi gani, perfomance yako ipo vipi na vitu kama hivo....! kinacho takiwa ni uwezo wako wa asili (natural talent), kujituma katika kufanya kazi na kujifunza zaidi.....!

  Mimi nilifanya hizo interview na watu walikuwa na mafirst class na wengine na MBAs lakini walipigwa chini, si wengine tukachukuliwa......! so GPA is just a number, haina maana yoyote kama huwezi kuitranslate into life experience kijana....! Uko kijijini wapi?
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kasome tena ili ukirudi mtaani ukute wasome wengi zaidi ili mpambane ssa
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hao Access Bank lazima watakuwa na matatizo, kwanini waajiri watu kila leo? Kuhusu PWC na hao wengine sidhan kama unawafahamu vizuri, usimshutumu jamaa bure.
   
 16. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #16
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka yangu.

  PLEASE:

  kwa anayeweza kunisaidia naomba tuwasiliane kupitia E-mail ''Kipengele@yahoo.com''


  NAOMBENI MSAADA WENU WANA JAMII.


  ASANTE SANA KWA USHAURI MULIONIPA WANA JAMII WENZANGU.

  '' MUNGU AWABARIKI ''
   
Loading...