Nahitaji kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Edwin08, Aug 12, 2011.

 1. E

  Edwin08 New Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni specialist kwenye comtuter maintanance & repair in software & hardware!!
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  unahitaji kazi au unaomba kazi....be professional bana
   
 3. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,000
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Nahisi si mtanzania huyu.
   
 4. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Unapokuwa unataka watu wakusaidie kwa jambo flani, ni bora ukatulia na kuandika kwa ufasaha ili uweze kueleweka vizuri.
  Binafsi sijakuelewa wewe ni mtaalamu wa nini hasa?
   
 5. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ana fursa ya ku-edit anyway.Next time awe makini
   
 6. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani watanzania mbona tuko hivyo...ina maana hujamuelewa hapo...kwani si amekosea tuu spelling kama basi hata kama hiyo comtuter ambayo computer hukuielewa lakin mbele amefafanua ni mtalaam wa maintanance & repair in software & hardware kama tuna uwezo wa kumsaidia tumsaidie mwenzetu si kuanza maswali utadhani ni jeshini hapa...


  edwin all the best nikisikia nitakushutua kaka...naomba ni pm cv yako kwenye personal email...cheers...
   
 7. Edgar011

  Edgar011 Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Asante tete email yangu ni 'dreddy2007@yahoo.com'
   
Loading...