jinsi gani nta-bargain mshahara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jinsi gani nta-bargain mshahara?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kalunguine, Aug 25, 2011.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Katika sehemu nliyojishikiza, sasa wameniambia wataniajiri! Hofu yangu ni jinsi gani nta-bargain hata kufikia kiwango nachokihitaji mimi! Kwa waliowahi pitia hili naomba msaada wenu!
   
Loading...