Natafuta mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare.

Ad Hoc

Member
Jul 12, 2011
13
2
Habari...! Nahitaji mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare ya chuo...kama unaweza deal hiyo nipe namba yako tuwasiliane!
 
Habari...! Nahitaji mtu wa kunitengenezea t-shirt za sare ya chuo...kama unaweza deal hiyo nipe namba yako tuwasiliane!
idadi..ubora..?.. wasiliana na 0754446393.. anaitwa Faustine. Ni mjsiriamali mzuri na anafanya kazi na ofisi nyingi za umma. Usimpelekee longolongo tu.
 
Mpigi huyu mtu 0715 280482, anaitwa Patrick. Ni mkali mno.
kwa maelezo zaidi tembelea http://wear.galacha.com
utaona kazi zake.

b.png
 
Back
Top Bottom