Kazi jaman,wana JF

Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
15
Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba nakosa,sina msaada wandugu,mliokuwa kwenye system naomba tusaidiane wanajf,kuna moja imetangazwa humu jf na savanna forever wanataka field researcher nimetuma maombi,yawezekana staff wa hii NGo mpo humu jamvin,naomba msaada wenu tafadhal na sehemu zingne pia,wenye nafasi mnijuze jaman kwa simu hii 0753114524,asanteni

Vizuri sana kaka....... Umeonesha kujiamini.....! Naomba wana jf tuliokwenye system ambazo zinashabihiana na elimu ya mdau mwenzetu tumsaidie. Kaka usikate tamaa utapata soon....

asante sana mkuu,naamin wadau wapo watajitokeza,

Vizuri sana kaka....... Umeonesha kujiamini.....! Naomba wana jf tuliokwenye system ambazo zinashabihiana na elimu ya mdau mwenzetu tumsaidie. Kaka usikate tamaa utapata soon....

mwenye kufaham hii kampuni ya savanna forever jaman anisaidie kupata mchongo pale,nimetuma maombi wakuu!

Dah!sua nao wana maisha magum balaa..

kaka sio sua tu,issue ni kwamba kuna urasimu sana,niliwah kwenda kwenye NGo moja na bahasha yangu kuomba kaz nikaulizwa na project manager kama kuna mtu ninaemfahamu katika ofisi ile ili anipigie pande kwa mkurugenz,hapo nilichoka kabisa

kupigiana mapande ndio mpango mzima kibongo bongo, waambie wadogo zako waanze kutengeneza channels mapema.

Similar Discussions

Back
Top Bottom