mmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu tafuta tu kibanda cha chips uwe mjasiriamali. Ukijituma you'll never regret! Usipoangalia utapata experience ya miaka kumi ya kutafuta kazi.
 
Km kusingekuwa na nepotism, japo kazi ni chache wenye qualifications wangepata tu. Ila usichoke, mtu hawezi zuia upepo kuvuma. Tumuombe mungu!
 
pole sana,it is a grand revelation even to the experienced. usikate tamaa, endelea kutafuta, usijiwekee limitations kama za mkoa au aina ya taasisi. browse pia namna ya kuandika applications na cv. kila la kheri.
 
Hii inanifanya nizidi kuiheshimu kazi yangu japo nafanya kazi isyoendana na profession yangu, nina CPA lkn sio muhasibu siiachi hata kidogo bora mkono wenda kinywani bila shida.
Komaa kijana utapata ila ndio hivyo sio lazima upate kazi ya ulivyosomea pekee,yeyote pouwa hapa bongo bana Daktari anakua bank Teller.
 
Hii inanifanya nizidi kuiheshimu kazi yangu japo nafanya kazi isyoendana na profession yangu, nina CPA lkn sio muhasibu siiachi hata kidogo bora mkono wenda kinywani bila shida.<br />
Komaa kijana utapata ila ndio hivyo sio lazima upate kazi ya ulivyosomea pekee,yeyote pouwa hapa bongo bana Daktari anakua bank Teller.
<br />
<br />
Mimi ni Engineer lakini nilianza kazi za Sales na sasa niko kwenye Marketing, full siasa hata kuongea nilikua sijui zaidi ya ku deal na mitambo tu lakini sasa najiona kama naongea kupita kiasi hadi nikiingia kwenye Interview, cabinet huwa inaishiwa maswali na kutoa maksi palepale. Hahaha....bongo ni noumar bora upate kile kitakachokupa mkate wako wa kila siku. Kitu muhimu usichague kuanza na position unayoitaka, kama kuna kampuni una itarget, anza hata kama kibarua then onyesha umahili wako ukiwa humo ndani utashangaa utakavyopanda haraka na kufikia lengo lako au nafasi nzuri zaidi kuliko hata nafasi uliyokua ukiiota.
 
we ulijua ukimaliza tu unaenda ofisi yyte tu ile unaambiwa haya ofsi yako hii na meza yako hii hapa,hbu fungua hata kibanda cha nyanya
 
Ni kweli bwana wenzio tupo mtaani mwaka wa 3 na vyeti vyetu kila kazi wanataka experience
 
Ni kweli bwana wenzio tupo mtaani mwaka wa 3 na vyeti vyetu kila kazi wanataka uzoefu
 
Böngo kila kitu kimechakachuka!hofu yangu usije kuwa na experience ya kutafuta kazi!
 
Back
Top Bottom