Whether it's a high-profile tech company like Yahoo!, or a more established conglomerate like GE or Home Depot
, large companies have a hard time keeping their best and brightest in house...
Wakuu wana Jf kwa yeyote yule anayejua kitu kinachoendelea huko sekretariate ya ajira kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na kuwa na deadline ya tarehe 3 December 2011 naomba tufahamishane wakuu...
Anahitajika dereva kwa ajili ya kuendesha gari/pikipiki na shughuli zingine za ofisi.
Ofisi husika ipo Dar es Salaam na ni ya kidini kwa imani ya ki-Kristo.
Baadhi ya sifa za Mwombaji;
1. Awe na...
In association with the Tanzanian High Commissioner for the UK and the Institute of Accountancy Arusha (IAA), Coventry University are delighted to offer a limited number of full tuition fee...
Hellow there,
I am an experienced English teacher looking for a job in either o-level or high school. Incase of any info please send me an email through darifamahuma@yahoo.co.uk
SAVE THE CHILDREN
Position:Patina
Detail: Mwananchi 15 December 2011, Deadline 13 January 2012
Contact: e mail: job@savethechildren.or.tz
TANZANIA POSTS CORPORATION
Position1: Human Resource...
mambo! iv jaman hakuna recruitment agency ambayo unawapelekea cv yako zen wanakutafutia kaz kisha unawalipa percentage flan frm ur mshahara afta kuingia kazin lkn nt b4... nmechoka na ajira
Habari za majukumu ndugu zangu..
Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali (NGO) mkoani Arusha inayojishughulisha na kutoa huduma kwa watoto wa mazingira hatarishi ambao wanatafuta firm...
Wadau,
Natafuta Mwalimu wa kufundisha twisheni kwa mwezi mmoja tu!!
Masomo ni Hisabati na English,
Darasa la Sita, La Nne na La Kwanza,
Malipo ni Tshs Laki 4 kwa kipindi chote cha huo mwezi...
Hey Guys, tatizo ambalo pia naliona wazi kwa wengi wenu ni namna ya kuandika cv yako ili imvutie mwajiri na pia kushindana katika soko. Hata kama CV yako ni ya page moja hasa kwa wale fresh lakini...
The Kroc Institute offers students who are accepted into the master's program a full scholarship and a stipend for housing and living expenses for two years.
Click here for more details: Master's...
Hello wazalendo wa nchi yetu nimetoka TCAA kuulizia kama waeshaita watu. Wamesema wameita walioomba nafasi za Ma-director tuu na wanafanya interview kesho wengine mpaka january.
wakubwa habari zenu! jamani hivi hizi kazi za kwenye magazeti huwa wanaita watu kwenye interview au hata kuwapatia watu kazi? mwenzenu mie ni graduate yani nimetuma barua za kazi zisizopungu 70...
Wale wadau waliofanya interview tarehe 11 na 12 July kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya Ajira za utumishi wa umma, majibu yametoka na wajionee wenyewe hapa au kama una ndugu yako...
EWURA EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is a world class
regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of...
Ajira za walimu huenda zikatoka January. Habari ya kusikitisha ni kwamba walimu watakaoajiriwa ni wachache hasa wa Sayansi. Serikali haitaki kukiri haina pesa, ila ukweli ni kwamba kama umekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.