Interview -- sekretariate ya ajira

NGOSWE.120

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
219
233
Wakuu wana Jf kwa yeyote yule anayejua kitu kinachoendelea huko sekretariate ya ajira kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na kuwa na deadline ya tarehe 3 December 2011 naomba tufahamishane wakuu.



NB: Sina imani na hii tume ya ajira hata kidogo coz ya uchakachuaji wao wa kupita kiasi, so kama kuna mtu atakuwa na feedback ya kuitwa katika interview au kuwa shortlisted basi atufahamishe hapa jamvini ili niweze ku-justify statement yangu.
 
Acheni majungu..Tume ya ajira hakuna uchakachuaji,ni moja kati ya vyombo ambavyo ruba wa rushwa hajapata nafasi,na washkaji wangu weng,toka vijijin wasiokuwa na Godfather..lakn wamepata kazi ktk vitengo muhmu sana..
 
Back
Top Bottom