Majibu ya interview.,Tume ya Ajira Utumishi wa Umma

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Wale wadau waliofanya interview tarehe 11 na 12 July kwa nafasi za kazi zilizotangazwa na tume ya Ajira za utumishi wa umma, majibu yametoka na wajionee wenyewe hapa au kama una ndugu yako amebahatika basi umjulishe.
 

Attachments

  • Kuitwa kazini.doc
    282.5 KB · Views: 2,552
Tunashukuru kwa taarifa mkuu, tuzd kujuzana kadri iwezekanavyo. All da best kwa waliochaguliwa. Thx
 
Wengne simu zetu hazisomi pdf jamani. Tusaidieni
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na. EA.7/96/01/A/30 15 Agosti, 2011
KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 11 hadi 12 Julai, 2011 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao.
Na.
MAMLAKA YA AJIRA
TAALUMA/KADA
MAJINA YA WANAOITWA KAZINI
1
LAW SCHOOL OF TANZANIA
SENIOR LECTURER
1. GABRIEL S. MNYELE
LECTURER
1.EDWARD P. CHUWA
2.KISAKISA KIWARA
ASSISTANT LECTURER
1.IMAN BARAKA KADUMA
2.EMIL D.J. LUKIKO
2
GOVERNMENT CHEMIST LABORATORY AGENCY
CHEMIST II
1.JEHOVA F. MGONJA
2.HOSEA A. HOSEA
3.KAGERA Z. NGWEISHEMI
4.KAIJUNGA T. BRASSY
CHEMICAL LABORATORY TECHNOLOGIST
1.DIDAT S. KAMAZE
2.ROBERT SID NDIMBE
3.ANTHONY A. MBALUKA
4.HARID SAID
5.AMOUR SULEIMAN
3
EASTERN AFRICA STATISTICAL TRAINING CENTRE
ASSISTANT LECTURER (STATISTICS)
1.PATRICK K. MWANAKATWE
2.ZAINAB HASSAN
TUTORIAL ASSISTANT (MATHEMATICS)
1.JOHN M. BUZZA
4
MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE
ENGINEER TRAINEE (ELECTRICAL)
1.JOSEPH MWITA
2.HENRY R. KURWA
STATISTICIAN II
1.NASIB ELIAS
HUMAN RESOURCES OFFICER
1.MGESI JUMA MACHERA
SUPPLIES OFFICER II
1.GAUDENCE TEMBA
WEBMASTER
1.EMMANUEL T. MBWAMBO
SYSTEM ADMINISTRATOR
1.VICTOR JUSTICE
2.NSHABIMANA CHAMGOBA
NETWORK ADMINISTRATOR
1.CHRISTOPHER C. MTOVE
ASSISTANT MASHALLER
1.ZANABIUS MWIMBA
2.HAMIS A. SHEMWETA
3.DENIS KINYANGA
4.CHRISTOPHER P. NYALUSI
5.JAPHET C. MTOKA
6.JAMES P. MBWIMBO
7.BEDA MMBANDO
8.JEFF W. SHANTIWA
9.FADHILI MEENA
10. CHARLES ALOYCE COSMAS
X. M. Daudi
KATIBU


NB: Tangazo hili linapatikana katika tovuti zifuatazo:

www.utumishi.go.tz na www.pmoralg.go.tz
 
Lini watatoa majibu ya interview iliofanyika tar 30 march ya NIDA?.
 
NIDA tayali mkuu,watu wako vitengoni..washapelekwa training ya kufa mtu na saiz washanza na kazi!wameanza kutengeneza vitambulsho vya uraia kwa wafanyakaz wa umma ambao data zao n rahs..so vijana wako mzgoni
 
Back
Top Bottom