Dereva anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dereva anahitajika

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Landed Property, Dec 16, 2011.

 1. L

  Landed Property Member

  #1
  Dec 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anahitajika dereva kwa ajili ya kuendesha gari/pikipiki na shughuli zingine za ofisi.
  Ofisi husika ipo Dar es Salaam na ni ya kidini kwa imani ya ki-Kristo.
  Baadhi ya sifa za Mwombaji;
  1. Awe na leseni ya udereva - inayomruhusu kuendesha magari (siyo lazima mabasi/malori) na pikipiki.
  2. Awe mzoefu/anaufahamu vizuri mji wa Dar es Salaam na mitaa yake
  3. Awe na Elimu angalau kidato cha nne na cheti cha ufundi wa magari.
  4. Awe anaweza kuongea na kuandika kiswahili na kiingereza vizuri.

  Kwa mwenye nia anaweza kuni PM tutawasiliana zaidi.

  Asante
   
 2. M

  Mparanyanga Member

  #2
  Dec 16, 2011
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kaka kwa taarifa, mawasiliano yanakuwaje???
   
Loading...