Natafuta Mwalimu wa Twisheni - Primary just for 1Month | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Mwalimu wa Twisheni - Primary just for 1Month

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Shark, Dec 14, 2011.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  Wadau,
  Natafuta Mwalimu wa kufundisha twisheni kwa mwezi mmoja tu!!
  Masomo ni Hisabati na English,
  Darasa la Sita, La Nne na La Kwanza,
  Malipo ni Tshs Laki 4 kwa kipindi chote cha huo mwezi mmoja, (laki 1 kwa wiki)
  Vigezo;
  Awe wa kike,
  Awe ana uwezo wa kuelezea na kueleweka kwa wanafunzi wake,
  Ajue kumsoma mwanafunzi na kugundua udhaifu wake,
  Awe anazingatia ratiba,
  Otherwise mambo mengine PM inatosha
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  uko mkoa gani/wapi?
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,108
  Likes Received: 7,366
  Trophy Points: 280
  DSM,
  Kijitonyama karibu na Chuo cha Ustawi wa Jamii
   
Loading...