Ajira za walimu wapya January

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Ajira za walimu huenda zikatoka January. Habari ya kusikitisha ni kwamba walimu watakaoajiriwa ni wachache hasa wa Sayansi. Serikali haitaki kukiri haina pesa, ila ukweli ni kwamba kama umekaa kitako unasubiri hzi ajira, anza kujishughulisha. Kama ulikuwa huna mpango wa kukaa mkoa habari ndo hiyo.

Source: Mamangu mkubwa yuko Mipango pale wizarani. Niamini.
 
Kha! Wacha niende sudan mie nikazoee ukata na ukame mana bomu linalotengenezwa hapa ni hatar
 
Labda siri-kali imuombe kila mbu-nge asamehe nyongeza ya posho ya 442.86%, ambayo inaweza kulipa walimu lukuki. Lakini nasikia wabunge wetu wanaandamwa na DHAMBI YA ULAFI kwa hiyo hawawezi kukubali kuachia donge hilo nono.
 
Ajira za walimu huenda zikatoka January. Habari ya kusikitisha ni kwamba walimu watakaoajiriwa ni wachache hasa wa Sayansi. Serikali haitaki kukiri haina pesa, ila ukweli ni kwamba kama umekaa kitako unasubiri hzi ajira, anza kujishughulisha. Kama ulikuwa huna mpango wa kukaa mkoa habari ndo hiyo.

Source: Mamangu mkubwa yuko Mipango pale wizarani. Niamini.

Haina pesa kivipi wewe mbona posho za wabunge wako zimeongezwa kivile sema UFISADI 2 kwenye mambo yanayowanufaisha wao, Nchi yangu ni lini itafumbuka bongo zao bana daH!!
 
Hii nchi kwa kweli bila kuishinikisha haifanyi kazi yake ipasavyo walifungua mavyuo mengi ya nini sasa kama haiwaajiri hawa walimu?Walimu mliomaliza jiungeni kuingia barabarani la sivyo mtaachwa kapuni na hii serikali isiseme haina pesa wakati juzi sherehe za uhuru just one day wamepoteza sh bilioni 64 kwa anasa tu nothing for development sasa leo inasema haina pesa.Tatizo watanzania hatupo serious kwenye madai ya msingi na mkumbuke walimu asilimia kubwa ni watoto wa masikini hakuna mtoto wa kigogo hata mmoja ambae yupo kwenye hii fani kwa hiyo mkikaa kimya na umasikini wenu no one anayeweza kuwaona kazi kwenu walimu tutawaunga mkono kwa madai ya haki zenu kwani waliwahaidi kuwaajiri soon baada ya kuhitimu sasa whats wrong wasiwachezee shinikizeni serikali yenu iwape ajira soon.
 
Hiyo ni miaka 50 ya uhuru na bilioni 61 eti ndio tanzania maskini. u""nge!!
 
kama wahasibu wamehitimu watu elfu7000 by mwaka 2010 na serikali ikaita interview watu 3500 ili kuwapata watu 100 tu kuwa internal auditors,basi pia inaweza kuajiri walimu 100,ama kwel staajabu ya musa kama ujaona ya zuhura!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom