Kwa Auditors walioko Arusha na viunga vyake

Cathode Rays

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,738
1,492
Habari za majukumu ndugu zangu..

Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali (NGO) mkoani Arusha inayojishughulisha na kutoa huduma kwa watoto wa mazingira hatarishi ambao wanatafuta firm inayotambulika ili kuwapatia huduma ya Auditing.

Please, kama kuna anayeweza kunisaidia katika hili ani-PM then nitafanya utaratibu wa kukuunganisha uzungumze na mhusika ambae amekabidhiwa hilo jukumu....

Ahsanteni na nawatakia kazi njema
 
Back
Top Bottom