recruitment agencies | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

recruitment agencies

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by neyl, Dec 3, 2011.

 1. neyl

  neyl Senior Member

  #1
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mambo! iv jaman hakuna recruitment agency ambayo unawapelekea cv yako zen wanakutafutia kaz kisha unawalipa percentage flan frm ur mshahara afta kuingia kazin lkn nt b4... nmechoka na ajira
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu, siku hizi tuaotoa ajila tumeshtuka hatuhitaji vyeti bali tunakuhitaji wewe mwenyewe phisically tukufanyie interview ya kuonge na kuandika na ufanye solo presentation. makaratasi hatuna haja nayo kwani viwanda vya printing vimekuwa vingi.
   
 3. kopundo

  kopundo Member

  #3
  Dec 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani wana JF.Nami natafuta kazi sasa kwa muda mrefu tu bila mafanikio yoyote.Nina bachelor ya electrical engineering na Associate degree ya nursing lakini sasa undugunization ya bongo kwa kweli inanifundisha adabu.Any suggestions or commends?
   
 4. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #4
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Duh! Electrical na Nursing ndani ya kichwa 1. Hii inaweza kuwatisha waajiri. Nakushauri uwe na cv mbili tofauti UTAPATA ajira haraka zaidi. Manake ukichanganya hivyo inaashiria instability au ukosefu wa umakini KWENYE VYOTE VIWILI. Ndo inavyoonekana kwa nje.
   
 5. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #5
  Dec 3, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45

  mkuu tupe hiyo chance hata tuweze kufanya kama ulivyo suggest
   
 6. kopundo

  kopundo Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu,shukrani kwa comment na ushauri. Ukweli ni kwamba huwa ninapoomba kazi huwa natuma CV ya kila profession,yaani CV moja tu.Nina CV mbili tofauti wala sijachanganya profession zote kwa pamoja.Ahsante kwa ushauri
   
 7. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Jiajiri you can make a good employer ten years to come. Follow bill gates theories or michael dell. You can make a good eductaed machinga who will come to own the chain malls.
   
 8. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 540
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35

  White umetulia,kumbe Marekani hukwenda kucheza,saafi sana......ila ndio bongo hiii......kama vp jaribu na nje ya Tz,kama Australia,bado katika fani za Engineering demand ipo
   
 9. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Dah...umediversify toka nursing mpaka engineering anyways nakushauri kwa kazi kama za engineering omba kwanza internship kwenye kampuni huwa wanaunderpay lakini uhakika wa kutoka hapo kuajiriwa au wanakurefer kwenye kampuni nyingine ni mkubwa, uko mkoa gani?
   
Loading...