Ssra wameshaita watu kwa ajili ya oral intarview ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ssra wameshaita watu kwa ajili ya oral intarview ?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by UKWELIWANGU, Dec 14, 2011.

 1. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mwenye taarifa naomba anijuze
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  na ukiambiwa wameshaita je??????????utakua umeshapitwa?????????kwanini usifatilie wanaita lini ili ujiandae????????????
   
 3. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Mimi pia ningependa kujua kama walishaita...kujua wanaita lini sio rahisi labda uwe na muhabarishaji kutoka ndani kwenyewe...tuhabarishane wadau..binafsi niliitwa kwenye written interview nafasi ya admn & hr pale luther house mpaka leo sijasikia hili wala lile kuhusu oral interview.
   
Loading...