M Masarafu Member May 24, 2012 22 13 May 29, 2012 #1 ni swali sio statement.... hawa jamaa walinipiga kila ki competency mda mrefu kinoma online, sa sijui ndo nshabugi au bado?
ni swali sio statement.... hawa jamaa walinipiga kila ki competency mda mrefu kinoma online, sa sijui ndo nshabugi au bado?
MAUBIG JF-Expert Member Apr 3, 2012 1,039 854 May 29, 2012 #2 tayari watu washafanya na hesabu, mie waliniita ruhusa ikagomba kutoka kwa bosi wangu
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,731 68,746 May 29, 2012 #3 Ukisikia paa ujue imekukosa na ukiona manyoya ujue kaliwa tiririkaaaaaaa!!
Allency JF-Expert Member Jan 27, 2011 13,795 13,165 May 31, 2012 #4 Acheni kudanganyana. ndo kwanza wanaita second interview ukiacha ile ya Aptitude test ya pale Techno brain
Acheni kudanganyana. ndo kwanza wanaita second interview ukiacha ile ya Aptitude test ya pale Techno brain