Mwenye ufahamu wa hawa jamaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye ufahamu wa hawa jamaa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAUBIG, May 29, 2012.

 1. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  kuna watu wanaiotwa [FONT=&quot]A3 institute of Professional Studies kama wawajua tujuze[/FONT]
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,317
  Likes Received: 8,422
  Trophy Points: 280
  let me google.
   
 3. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Poa mwana google kisha tuambie, mana kuna nafasi fulanh za kazi wametangaza kupitia zoomtanzania
   
 4. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hiki chuo kipo maeneo ya fire-dsm kabisa pale kwenye mataa ya fire unakiona, ni chuo cha wahindi NA MOST OF THE STUDENT NI WAHIND ,KATIKA REPUTATION HERE IN DSM SIO KIVILE NI KAMA VILE NEW HORIZON CURICULUMN ZAO ZILIVYO NI CHUO KIDOGO TU KWANI WEWE UKO WAPI?SIJUI ZAIDI YA HAPO MKUU
   
 5. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Thanks kwa taarifa mkuu, mie nipo dom, wametangaza nafasi za tutors na mid sifa ninazo, vp kama unafahamu maslahi yao maana kama wamiliki ni wahindi hawa jamaa wana sifa za unyonyaji kimaslahi, please tujuzane tusije ingia choo cha kike
   
 6. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Omba kazi then ukiitwa kwa interview uta-negotiate nao ishu za maslahi. Acha kuwa mwoga!
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mwache aendeleze uoga wake maana usimwamshe alielala kama hataki kuamka mpaka labda kuwe na tetemeko au sunami, wengine wanaaply maswali hayo mengine watayajua wakiitwa kenye interview.Sasa wewe hata kuaply hujaaply unaanza kuulizia maslahi
   
 8. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  kama hujui nadhani itakuwa ni busara kukaa kimya soma kisha pita
   
Loading...